maselengo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 325
- 167
Asante sana mkuuKaribu tena mkuu hapo ndio nyumbani Uru timbirini pembeni yake shule ya sekondari ya uru na karibu na Kanisa katoliki la Moyo Mtakatifu wa Yesu Uru
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sishangai maana asili ya Keenja ni kule kuleTwapaswa kubadilika, miji yetu inanuka sana, hasa majiji bila kuisahau Dar. Keenja aliliweza jiji
Wanafagia mpaka "KICHUMINI" NI NENO LA kichagaMOSHI nawapa heko, wanafagia mpaka vinjia vya mashambani.
Makonda akiamrisha watu mkafanye usafi mnadai ni kazi ya serikali mnasumbuliwa.Mkuu Dar yetu ni jipu, kila kona mifereji imejaa maji machafu hadi huwa najiuliza wahusika wako wapi?
Japo jukumu la usafi ni letu wote
karibu kani mmeku!.kuche ria na kipata!Asante mkuu, napita mara kibao hapa. Mko vizuri sana
hiyo ni road ya kuelekea shant town au international school moshi.
Mikakati dar kutwa kufanyia likitoa media Kutaka sifa na kikDar hakuna mkakati wowote wa usafi
Acha kupiga kelele CCM imeshindwa kazi.Makonda akiamrisha watu mkafanye usafi mnadai ni kazi ya serikali mnasumbuliwa.
Watanzania ni watu wa ajabu sana,hivi kusafisha mazingira yenu mpaka msimamiwe na serikali wakati wahusika ni nyie wenyewe kwanza.Umesoma jinsi hao kina mama walivyopiga kelele kama wameona mwizi hawataki uchafu kwenye mji wao,je wangebweteka na kuwaachia wahusika wangekua wapi leo
Watu wapo kazini wewe unasema wameshindwa kazi??!!Acha kupiga kelele CCM imeshindwa kazi.
Wanaishi hivyo hivyo wanavyo ishiMkuu kuna mahali ukipita pale usalama magomeni kuna harufu mbaya sana,yani kuna nukaa balaa,alafu kuna vingunguti karibu na daraja,wanachoma sijui ni mapembe ya ng'ombe.Watu wa maeneo hayo sijui wanaishije.
Hahahaha,wachaga mnatisha,yana ukweli hayo??nenda vijijini huko sehemu wanaziita mengeleni yani kanjia kale kakuingia nyumnani aloo wanakafaigia mpaka nzi anaona aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeeleza pale juu kuwa abiria alishushwa na konda kwenda kuokota chupa aliyoitupaMkuu inaendelea Lin hii episode maana hujatuambia Kama alitoa hela au aliokota
Sent using Jamii Forums mobile app