Wasifu wa Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe

Wasifu wa Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe

Hivi kwanini wanasiasa huwa wanamchukia mtu anayesema ukweli?

Hon: Hussein Mohamed Bashe
Amezaliwa tarehe 26/08/1975
Muhitimu wa Bachelor of Bisness Adminstration in marketing palé mzumbe mwaka 2002.

Bashe kabla ya kuwa member of parliament amewahi kua ^

- Chief Executive officer (New habari 2006LTD)
- Market and Circulation Maneger (Mwananchi Communication LTD)
- Brand Maneger (Mwananchi Communication LTD)
- Area sales Meneger DSM (Celtel Tanzania) kwa sasa ikijulikana kama Airtel
- (Bank officer Nation Microfinance Bank NMB)

Bashe kwenye mzunguruko wa siasa amekitumikia chama cha mapinduzi mwaka 2005/2012

Kama

- Member - UVCCM Centre Council.
- Member - General meeting.
- Secretary Economic and Finance Nzega. Magharibi.
- Member Political Committe
2015/2020 Member of Parliament

Naweza kunena kua Jicho halishibi kuona wala sikio halikinai kusikia
Tanuru hupima kazi ya mafinyanzi ndivyo pia matunda huonyesha mti ulivyo tunzwa vilivyo.
Maneno ya mtu humjulisha mtu alivyo.

Hussein Bashe ni moja kati ya vijana wenye IQ kubwa na usmart wa kuongea kwa nidhamu ni hazina ya chama cha mapinduzi.

Chama cha mapinduzi kina imani ya kwamba

- BINADAMU WOTE NI SAWA .
- KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA YA KUTAMBULIKA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE.
- UJAMAA WA KUJITEGEMEA NDIYO NJIA PEKEE YA KUJENGA JAMII YA WATU WALIO SAWA NA HURU .

Hussein Mohamed Bashe
Huyu ndio mtu wangu bora wa mwezi wa tano. Real Eyes. Raalize. Real Lies

Najifunza vitu vingi sana abajo ongea bungeni anajua anacho zungumza kwa weledi na utundu .

They say never judge a book by its cover but they also said a picture is worth thousand Word.

Wachache watamchukia bashe sababu tu anaongea ukweli.
Na wengi tutampenda bashe sababu anaongea ukweli.
741fccf46fc5c4e31aa995ec528a1761.jpg
128e6d59e313379b3338ddaa1ac9ca3f.jpg
 
Tungekuwa na vijana kumi kama hawa upande wa ccm tungefanya mengi katika nchi hii

Tatizo ccm wanaona jamaa ni msaliti maana.

Ili ukubalike ndani ya ccm unatakiwa uwe na akili kama kibajaji au waziri aliyechukua nafasi ya Nape.
 
Bashe ktk ubora wake, jamaa ni very bright
 
Ni kweli kabisa Bashe ni aina ya viongozi wanaotakiwa kwa kizazi hiki kwani sio "mwoga wala mnafiki"
 
Bashe ni kijana amabae yuko Smart kichwani kweli kweli anayeweza kujenga hoja bila ushabiki wa vyama na mihemuko nampa Ongera kwa hilo [emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom