Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,404
Jamaa mmoja mkazi wa Mburahati Barafu jijini Dar es Salaam amepata kipigo kikali baada ya kuwaita wenzake chura.
Jamaa watatu walikuwa wakipiga story za hapa na pale ndipo alipotokea jamaa huyo na kuanza kuwakejeli wenzake kwa kuwaita chura wa matopeni.
Walimuonya lakini akaendelea na kejeli zake hali iliyopelekea kupata kipigo kikali kilichosababisha uso kuvimba.
Tukio hilo lilitokea Juzi Jumapili 22/05/2016 baada ya ligi kuu ya soka VPL kumalizika na timu ya Simba kuambulia kipigo cha mabao 2-1.
Chanzo: Mimi mwenyewe nilikuwepo eneo la tukio.