Recent content by Maliasili

  1. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Karibu kwetu; Ni Wauzaji na wasambazaji wa mbao

    Hello Kiwale, je hizi gum poles ni treated? Na hizi bei ni kwa mita moja au urefu gani? Na je hizi gumpoles huwa zina urefu gani kawaida? Na hizi bei zinaweza pia kutumika Kongwa?
  2. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Live:Kikwete amwagia sifa tele Jk Nyerere

    Going down memory lane - YouTube
  3. Maliasili

    JamiiForums Tanzania PETE (hadithi ya mapenzi)

    Ni Frank au Victor? Ametajwa Frank mwanzoni na victor baadae. Nadhani Victor itatoa ubishi! Mwisho wa hii hadithi mmmmhh! Na tungoje
  4. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

    Hahah aaha aaha aha....si utukumbushe bibie? maana kumbaka Flora, daaah yataka moyo!
  5. Maliasili

    JamiiForums Tanzania The Man behind 2PAC's Death

    Behind it Kuna CIA pia. Ili kumaliza bifu lililokuwa linapamba moto Kati ya east na west. Both were killed by CIA. Period! But the question is " why the 7th day theory apply to the death of 2pac? Refer the kiluminati album!! Think big
  6. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Kikwete ausaini Muswada wa Katiba Mpya...

    utakuwa ule mpango wa Serikali kujipindua ndio upo kwenye process Tungoje ukweli, tuache tetesi kwenye mambo ya msingi. mleta nada amekosa kujiamini kwa maneno aliyotumia yanayokinzana "tetesi>>>uhakika>>za kweli>>>ngoja nitaleta source". Why usingetulia ukaleta habari kamili? Unadhani issue...
  7. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

    Wachaaaaa.... We utakuwa fundi haswaaa.... I like this reply, mia
  8. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

    Hii inaitwa "THE END"
  9. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Rai ya Ulimwengu - Tunadanganyana, Tunajazana Ujinga!

    TUNADANGANYANA, TUNAJAZANA UJINGA Na Jenerali Ulimwengu, NALAZIMIKA kurejea mada yangu ya muda mrefu, mada inayojadili jinsi tunavyofanya mambo kama watu wa kupita huku tukishindwa kuangalia masafa marefu kama Taifa linaloamini kwamba litakuwapo hapa hapa kwa muda mrefu. Wiki...
  10. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Kimboka By Night...!

    Ni kweli, pale Ujerumani kuna stripping clubs katika street ya makahaba mashuhuri na mashoga maarufu. Inafanyika kwa sababu sisi wanaume tunawachukua na tunawahitaji... Ni kama iliyo biashara ya utumwa tu, difference ni uwa after kupewa mambo kila mtu anachukua time yake. Jamii ina mambo na...
  11. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Wanashangilia mazingaombwe na wanasifia viini macho! ... Silly People!

    Imetosha MMM, Don't spark anymore!
  12. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliyoharibiwa sanaaaaa

    Sijui kama tutafanikiwa na hatimaye kuendelea
  13. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Soma inakuhusu uliye kwenye ndoa

    Daaaaaaahhh!
  14. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

    Kweli wakuja ni wakuja tu!
  15. Maliasili

    JamiiForums Tanzania Kibaka anapouawa, dunia imepoteza...!

    Daaah, Mtambuzi, only tears, ngoja niende job niendelee kuwasaidia ndugu zangu! Imenichomaaaa...!!!!
Back
Top Bottom