Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Hii ni barua binafsi. Hatujui kilicho kwenye case file. Mawasiliano kati ya Ubalozi na Polisi wa UK bado anaendelea. Mpira bado uko kwa polisi UK kujenga mazingira ya kesi na kiarifu serikali ya Tz juu ya arrest warrant/extradition. Tuache ushabiki. Kesi kama hizi ni nyeti na UK police hawawezi kuomba Lema akamatwe bila kujiridhisha kwamba Lema ana kesi ya kujibu. Tukio liliripotiwa lini UK police, na Lema alichomokaje huko kama tukio liliripotiwa muda ule ule baada ya kutokea? Lema na Lyimo wanajua fika!
 
flora lymo ndio yule mkaa uchi kule udaku special? kama ndiye kubakwa ni saizi yake
 
hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.

View attachment 121028

maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.

Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika


Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.

Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine,
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA
-Anuani yake
-Barua pepe

Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na
-Wasifu wake.

Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.

Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.

kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

uyu mbunge nikituko ajabu haya tusubili mazombi uwone watakavyo kutukana kwa kumtetea Mbunge wao ....
 
" ...an assault that occurred at you home address." ? assault cannot occur at home address rather on home premises " the Investigation will continue to progress in your absence overseas." ?

Mkuu JUST kweli hiki ni kiingereza cha polisi tena mwingereza ?Aliyeandika barua hii hata English course #1301 hajasoma!Ahahaha paragraph ya kwanza tu katumia neno 'concerning'mara kibao ahahaha
 
Ilikuwaje?

we mtu walikuwa hotelin kwenye mkutano. wakiwa njian wenzake wakaenda kujisaidia sa sijui wote walibanwa na haja kwa mpigo.Lemma akasema ye haendi ataenda kujisaidie kwa flora Lyimo nyumbani kwake

na hapo wametoka hotelini,ambako kuna vyoo pia sasa wakiwa sebuleni kwa Flora,Lemma hapo hapo
akamrukia akamburuza hadi chumbani kwake kwa flora Lyimo asiende hata guest room ila ye
moja moja kwenye chumba cha Mbutananga na kuanza kumbaka,
bla bla ni kibao sana
 
hivi yule Flora Mbutananga alibakwaje bakwaje.......na akikusimulia alivyobakwa utabaki hoi

Alivaa bonge la min Lema macho yAkamtoka, akala kwa macho huku anamfuta mpaka location, kilichofuata huko wanajua wao wawili tu kama walibakana. Au HeLa ilikuwa kidogo na walivyokubaliana ndiyo yakatokea haya! SHAME!!!!

Body without head
 
Nyie mnaolipwa buku tano mtahangaika na Chadema we hadi mwisho!!! Kwa taarifa tu ni kwamba watanzania wanaelewa mbinu zenu chafu na ndiyo maana hakuna mtanzania anashtuka kwa hili. Mlianza na la ugaidi mkashindwa, mkataka mmalize kwa bomu Arusha mkashindwa, mkamfungulia kesi lukuki za uchochezi mkashindwa, mkapinga ubunge wake mkashindwa!!! Sasa na hili mmeshashindwa tayari!!! Aibu zenu.
 
we mtu walikuwa hotelin kwenye mkutano. wakiwa njian wenzake wakaenda kujisaidia sa sijui wote walibanwa na haja kwa mpigo.Lemma akasema ye haendi ataenda kujisaidie kwa flora Lyimo nyumbani kwake

na hapo wametoka hotelini,ambako kuna vyoo pia sasa wakiwa sebuleni kwa Flora,Lemma hapo hapo
akamrukia akamburuza hadi chumbani kwake kwa flora Lyimo asiende hata guest room ila ye
moja moja kwenye chumba cha Mbutananga na kuanza kumbaka,
bla bla ni kibao sana
Kumbe na huko mamtoni ni kama huku kwa mtogole tu.

 
Rangi ya bendera ya Taifa inatumika vibaya, serikari iwafuatilie makahaba wote huko nje, wasitutangazie upuuzi wao.
 


Hadi anatia kinyaa. Hivi hao Polisi wa Uingereza wana akili kweli, halafu nani mwenye akili timamu anaweza kumdandia mwanamke kama huyu. Nyie wanaume mbona mnatia aibu? Huko Uingereza anafanya kazi ya kujiuza? Je walioenda kutembelea katika danguro lake ni Nchemba na Lema tu? Sasa kwanini Lema anakaliwa kooni au hakumlipa hela za kulipia ushuru wa Uingereza maana kama Polisi wana akili timamu hawangefuatilia mambo haya nadhani wanachotaka hapo ni ile hela ya TRA ya Uingereza Lema hajalipa. Barua hii yawezekana anayedaiwa haswa ni Mwigulu Nchemba maana wamepiga picha pamoja inaonyesha alitembelea danguro la huyu dada.
 
Aliyepakuwa kinyume na huyo Lema na awe wa kwanza kusema yeye ali..................................---- kabisa
 
Back
Top Bottom