Live:Kikwete amwagia sifa tele Jk Nyerere

Is good always.....sema watu mmetawliwa na Hisia tu wakati fulani.......ni Rais makini...ukijenga tabia ya kumsikiliza kwa makini utamulewa tu....tatizo watu wanaanza kupiga kelele kabla ya kumsikiliza.....

Nafikiri kuna umuhimu wa kujiona na kujikubali kuwa Tanzania ni muhimili muhimu sana katka masuala ya uongozi na ukombozi kusini mwa jangwa la sahara......hata africa nzima....tunaitaji viongozi ambao watajulikana kweli ni kizazi cha Tanzania isije ikaonekana tulipata bahati kuwa na Mwl JK.....ukweli Tanzanian tunakubalika na kueshimika sana....lakin sisi ndio maadui wa sisi kwa sisi..HATUPENDANI........!!!....ANGALIA nchi zote zilizochelewa kupata uhuru huku kwetu....Namibia.....wataalaam wengi wa sector za serikali walitoka Tz.....hadi system za magereza...kamishna wa kwanza wa magereza kule Mtz,,,Botswana watanzania wako pia na position..pia most of policy zimekuwa developed TZ kule wanaziimplement kwa ufanis.....msumbiji..anagalia kule....na mifano mingi sana.....Nimetembea nchi kadhaa duniani..kiukweli watanzania wanatukubali.........lakini sisi tunajishusha sana.........
 
kweli kikwete anajua kumwaga sifa amwaga sifa za Dar,Moro na za nyerere pindi Tata Madiba alipokuja Tanzania kujihifadhi na kusahau Boots zake pindi aliporejea Sauzi na kuishia mikononi mwa kabauru

Ni historia iliyotukuka, haijifichi
 
Mandela has humbled us to the last minute. I witness dignitaries walk the long walk to Mendelas final rest place.
 
Kikwete sasa ana exposure....kigugumizi kimepungua...anajiamini.....kwa kifupi ametoa hotuba nadhifu yenye nakisi ya historia fichwa ambayo mimi sikuwa naifahamu.

Kikwete ni mtu wa Kimataifa kwa sasa jamani tumpe sifa anazostahiki hata kama wengine hatumpendi. Kaongea points na siyo Jagon za kiingereza tu kama wengine walivyofanya. Kaongea facts na siyo Propaganda za kupendezesha watu na kuchekesha
 
Kikwete ni mtu wa Kimataifa kwa sasa jamani tumpe sifa anazostahiki hata kama wengine hatumpendi. Kaongea points na siyo Jagon za kiingereza tu kama wengine walivyofanya. Kaongea facts na siyo Propaganda za kupendezesha watu na kuchekesha

Hata kama mtu humpendi lakini akifanya kitu kinachostahili sifa MPENI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom