wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 286
- Thread starter
- #121
hata mie mume wangu anatembea nje kwa raha zake, najua na mademu zake huniambia na yeye huniambia na wala simfuatilii wala sina hasira nae hata kidogo, maisha yanaenda fresh tu ndani, hamna maugomvi wala nini.
Sasa mimi ni sawa na huyo jamaa kwa sababu hizi.
1. Nimekata tamaa na mume wangu, sina wivu nae tena.
2. Ni bora aendelee kujisevia nje maana kwangu hapati kitu kwa hiyo wacha ajipe raha.
3. Nimepata wangu pia kwahiyo ngoma droo.
Kwahiyo, shemeji yako hajali kwasababu ya moja ya sababu hizo hapo, hakuna uchawi wala nini.
Achana nao, endelea na maisha yako.
ndoa ina umuhimu tena hapo?kaaaziii kweli kweli