Recent content by malaja jr

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

    watu hawajielewi ujue
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    mkuu hapo kwako shule ipo nimekubali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nikikupa Nokia E72 na elfu 30. we utanipa simu gani.

    samsung galaxy android pocket
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We unaweza kupenda hivi?

    Una kauli za kishujaa sana wewe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    Ili uweze kufaulu mtihani wenye mcq ni lazma usome between lines la sivyo mitihani ya mtindo huu ni migumu sana hasa pale inapotungwa na mwalimu makini
  6. M

    JamiiForums Tanzania JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    Dah muda mwingine ni bora kujifanya mjinga ili uambiwe ukweli
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suarez v diego costa

    Mshambuliaji cfa yake ni kufunga magoli,kumbuka kuna mabeki wazur pia kama ambavo walivo washambuliaji kama ls7
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

    Dah! Pole sana lakini iko kitu ndo ugonjwa wangu mkubwa usihangaike na kitu ambacho ni asili yako
  9. M

    JamiiForums Tanzania hivi ni kweli u.t.i tu?

    Kwa dalili unazozisema ni wazi una maambukizi katika njia ya mkojo yani kitaalamu u.t.i sasa inawezekana ulikua nayo muda mrefu,maliza dozi hlf urudi tena kwa daktari
  10. M

    JamiiForums Tanzania mkwawa bado haifai kuitwa chuo

    huu ni umbulula kabisa unaongea wakati muce ndo inaongoza kwa ufaulu udsm
  11. M

    JamiiForums Tanzania mkwawa bado haifai kuitwa chuo

    unajua unachokisema muce college ya education inayoongoza udsm
  12. M

    JamiiForums Tanzania MUCCoBS Boom/mkopo majangaaaa WAZIRI AJIBU PUMBA

    tar 21 dec mzgo ktk akaunti xmas hyooo bata kwa kwenda mbele,udsm home of intellectuals
  13. M

    JamiiForums Tanzania Patamu

    huu ugonjwa wangu asee
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzanian - U.N. peacekeeper killed as Congo's army gains ground against rebels

    hahahahahahaha dah we jamaa unanivunja mbavu lakini tambua siku yake ilifika,r.i.p our soulder
  15. M

    JamiiForums Tanzania TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    yah ulihusu matokeo ya mechi ya kwanza ya kombe la dunia afrika ya kusini
Back
Top Bottom