Patamu

Patamu

Kazi nipale ngemba ina 3in' na demu kabeba ile mbaya weka mchumo wa mboga nyama haionekani
 
Ka ushawahi kusikia bullying usidhani hua ni kwa watoto tu wakiwa wanamuonea mwenzao, hata hii ni bullying sema hua hamuioni...
 
Toba!!!!! Hawaumwi migongo kwa hiyo mizigo?
farkhina, Hapo ndipo MUNGU aachwe aitwe MUNGU, Ame Balance mahesabu yake wala hakuna uzito ulio zidi hapo, unakuta mtu huyo ni mwepesi ktk shughuli zake mpaka basi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom