ACHINJEMERE
Member
- Oct 19, 2014
- 42
- 19
- Thread starter
- #21
Mimi aliniuliza nikamwambia ukweli wangu kua sijui idadi kamili ya wanawake ambao nilishatoka nao yaan zaidi ya 50
Hapana hauwez kutoa jibu hili wewe, labda kama umempata.
Mimi aliniuliza nikamwambia ukweli wangu kua sijui idadi kamili ya wanawake ambao nilishatoka nao yaan zaidi ya 50
Piga picha unitumie mpenzi nimeimiss hiyo kitu, Na mijitu mingine akili imeingia Ebola yanatuma kweli.
Ni kweli hautakiwi kumuuliza mpenzi wako maswali mengi, tena mimi naamini uongo umesaidia sana kujenga na kuimarisha mapenzi na na mahusiano, kwa maana ya kwamba unampata mpenzi kwakumficha baadhi ya siri zako nyingi, anakubali, pengine ungemwambia ukweli usingempata na kama ni mume/mke wako akikuambia ukweli kabisa kuhusu maisha yake ya zamani unaweza kuvunja ndoa yako, so mimi nashauri uwongo usiwe mwingi sana, na ukisema ukweli jitahidi uwe mkweli maana utaumbuka, mimi naamini asilimia 90 ya vijana wanaofanya dating wanadanganyana na mwishowe wanapendana kweli na hata kuoana, so uwongo ni kiungo cha mapenzi kubali au kataa, hata wewe unayesoma habari hii ni mangapi umemficha mpenzi wako? je unahisi kama ungemwambia ukweli ungekuwa naye mpaka sasa? haya maswali na mengine mengi utajibu mwenyewe na roho yako, usiku mwema.