joyness
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 235
- 120
haha uyo jamaa ako atakua anakibamia...ndo mana anamlilia uyo demu asije akamtangazia mbaya
haswaaa!!Hapo umenena,na kama sivyo basi kalishwa limbwata huyo,au hajielewi.
haha uyo jamaa ako atakua anakibamia...ndo mana anamlilia uyo demu asije akamtangazia mbaya
Inawezekana hata ni wewe halafu unamsingizia jamaa yako.Nina jamaa yangu ana demu wake anamgharamia kila kitu
1. Nyumba anamlipia dola 800 kwa mwezi
2. Kamnunulia gari fortuner
3.Matumizi yote anagharamia chakula, mavazi ya gharama, na amtumizi yote.
Jamaa kashtukia demu anapiga kazi za nje na alimbana mdada akakubali kwani kuna siku hakulala nyumbani na alikiri kweli amelala nje na mtu fulani. Jamaa alichuna kama siku 5 baada ya hapo akamwita demu akalia sana halafu yeye eti ndio akamwomba demu wake msamaha na anaomba waendelee na mapenzi yako. Demu kamsamehe jamaa na sasa hivi wamekwenda dubai kwa mapumziko.
Kwakwli huyu rafiki yangu mimi nimeshindwa kabisa kumuelewa akili yake
Hivi watu kama hao wapo?? Hilo ni jinga la mwaka.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Kapigwa kipapai huyo, chezea Bagamoyo wewe
duu Libwata hiloo...?!? wanawake wamekua wabaya sana siku hizi yaan kama sisi wenye waume ndo roho juujuu kumuomba Mungu awalinde wasijepulizwa...kama ni kaka yangu ohooo atantambuaa kama ndugu wa kuwahudumia wameisha basi ndo afanye hivo..halafu mtu kama huyo inakuta wazee wake wanalalia mbavu za mbwq ndugu zake maisha duni yeye anagawa kwa wanawake ambao pengine hawana hata futer nao..najivuna maana sijawahi hongwa na mwanaume labda nihonge mimi ndo maana nawachukia sana wanawake wanaotegemea pochi za kaka zetu..fanyeni kazi acheni kuishi kwa miujiza mjini maana miujiza kwa wadada imezidi..
kama mtu anafanya kazi ya 250,000/- kwa mwezi...
mkoba wake 120,000/-
viatu 100,000
gari toyota Nadia
nyumba nzima anaishi kodi si chini ya 400,000/- kwa mwezi
ngui anazovaa 80,000/- kwa 50,000/- top
mawigi ya laki2
simu 1m mpaka laki700
na haba kitu.ambacho ni used kwake sasa kanisani au.msikitini ataenda kufata nini wakati yeye mwenyewe anatenda miujiza...mshahara mdogo au kazi hana kabisa lakini anaishi kifahari sio muujiza huo?
ninajua uchungu wa hela maana natafuta kihalali na kwa jasho..sasa kaka zangu nawahurumia maana nahis ningekua mwanaume bas nisingekua na dem kwa ubahili wangu..yaani nimimine mapesa yote hayo kwa girlfriend?? tena sio.MKe? maana hata mchumba huna haki ya kumhudumia hivyo...kisa ni just APPLE?? hahahaha kweli watu tunatofautiana..Mungu alijua akanipa kaka mmoja tu na ni mdogo kwangu so huwa ananisikiliza tabia ya kuhonga wanawake haipo kabisaaa...
Huwezi jua anapewa nini mtu mzima!