Lady.A
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 392
- 191
maumivu makali jamani sehemu za siri, hasa wakati wa kukojoa, na vimkojo vinatoka kiduchu na vya mara kwa mara, nilienda hosptl nikapewa flagyl na doxcycilin, ni siku ya nne sasa natumia dozi, cha ajabu maumiv yanazidi kama vile kuna vidonda. je, hii ni u.t.i tu au kuna mengine? msaada wapendwa. kama kuna dawa nawezatumia kuniondolea maumivu. samahan nimesahau mpaka salam, ila natumai wote mu wazima.