Recent content by Makundison

  1. Makundison

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya clinical medical vya serikali

    Ni cha serikali pia Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Makundison

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya clinical medical vya serikali

    kilosa,kibaha,mafinga,mtwara,lindi clinical officers training centre(COTC)
  3. Makundison

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Vipimo.

    NENDA REGENCY HOSPITAL UPANGA KUNA LAB YA LANCET
  4. Makundison

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Charles Hillary aaga rasmi BBC

    Tutakutana nae Azam media, umri umesogea amestaafu sasa ila Azam anakuja kufanya kwa mkataba kama Mkurugenzi wa Azam media, tutegemee makubwa kutoka kwake kama alivofanya Tiddo Mhando
  5. Makundison

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mimi nina gari aina ya carina Si, baadhi ya watu wamekuwa wakinichanganya kwamba O/D ikiwa imedisplay O/D OFF ndo iko ON na ikiwa haijadisplay ndo iko off hapa ndo wananichanganya kabisa, naomba msaada mkuu
  6. Makundison

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ni shida aisee, picha inaongea

    Mboga moto ugali moto
  7. Makundison

    JamiiForums Tanzania Nimuone Doctor gani mzuri? Kitengo gani kinaitwa?

    Nenda pale Buguruni Anglican Health centre iko malapa near St John University, pale wana madaktari wazuri sana, pale huwa natibiwa sana pale, wako vizuri wako KUHUDUMA na sio KIBIASHARA, kuna Dr mmoja pale ni mzuri sana, ni kijana mdogo ana almost 30yr yuko vizuri sanaaa anaitwa Dr Isack, try to...
  8. Makundison

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya diploma ya udaktari

    Kilosa,mtwara,kibaha,lindi,tanga,mafinga cotc,vyuo hivi ni vya serikali
  9. Makundison

    JamiiForums Tanzania Sasa chumba chako, ofisi, nyumba vyaweza kupambwa na rangi kwa manjonjo namna hii

    Mko vizuri sana soon ntawatafuta
  10. Makundison

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Kipo kilosa ,mtwara,ifakara,lindi,kibaha,mafinga COTC
  11. Makundison

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    MMmh,hata ile ya kupigana studio mlituzuga eti was a joke,wadanganyeni waliolala,wenzio tulishaamka:thumbdown:
  12. Makundison

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Asante mkuu kwa darasa
  13. Makundison

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuagiza gari online

    Mm nngekushauri nunua showroom za mjini tu hapa nna uhakika gari zipo nyingi nzuri na kwa pesa yako mkuu
  14. Makundison

    JamiiForums Tanzania mapezi

    Subiri waje wenyewe mm napita tuu
  15. Makundison

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Arusha mjini LIPO WAZI 2015.

    Umepotea njia kijana
Back
Top Bottom