Haya mapenzi ni shida aisee, picha inaongea

Haya mapenzi ni shida aisee, picha inaongea

nimekuja mzima mzima

SI UNANIJUA MZEE WA WEEKEND
nipo katikati kabisa ya mji napeleka mzigo wa tikiti bosi mkali
ikifika saa 10 tutasomana sana pande za huku

Hahaha sipati picha Muzee ya Wikienda unauza tikiti... Halafu ukute bosi ana sura ya yule waziri wa mbugani... Sielewi akikasirika..
 
​aiseeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhh.......................kumbe wife nae yupo na husband wa bidada huyo hapo
 
I would say ok, "have a great time.. am watching football game with ur girlfriend's boyfriend!!"
 
Hahaha sipati picha Muzee ya Wikienda unauza tikiti... Halafu ukute bosi ana sura ya yule waziri wa mbugani... Sielewi akikasirika..

natafuta ela like hell

nipo njiani naenda kumfungia mtu dish

(imagne nipo juu ya ngazi nafunga dish)
tatizo ni wakoloni wanazingua
 
natafuta ela like hell

nipo njiani naenda kumfungia mtu dish

(imagne nipo juu ya ngazi nafunga dish)
tatizo ni wakoloni wanazingua

Nakuaminia... si unakumbuka siku ile uliponipiga mzinga wa teni... Kumbe ndio kati ya njia zako za kujiongezea kipato.. hongera.
 
Kiingereza hiki jamani??Hata sijaelewa chochote
Honey Faith katika tafsiri isiyo rasmi:
Hawala/mke-Ni nani huyo Baby?
Mchepuko/Mume-Ni Mke wangu anasema atachelewa,kwani yupo kwenye kibanda anatazama Cinema akiwa na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Siku hiyo kama ni mimi nitapiga show ya hatari halafu nalipia hotel three more days ili anifumanie
 
Back
Top Bottom