Makundison
Senior Member
- May 17, 2011
- 108
- 30
Mm nngekushauri nunua showroom za mjini tu hapa nna uhakika gari zipo nyingi nzuri na kwa pesa yako mkuu
Mkuu kwa hyo pesa hebu nielekeze nitapata showroom gani noah
We jamaa Ni muongo Sana kama kitu hukijui kaa kimya au uliza, inawezekana akapata msamaha ikiwa Tu gari haijazidi miaka kumi tangu itengenezwe na anatakiwa afanye kazi kwa muda usiopungua miaka miwili. Na msamaha anaoupata ni excise duty on import na import duty pia gari isizidi CC 3000
Ndugu yangu nina imani mimi sio muongo kama ulivyoniita. Nina uhakika na nilichokiandika, exemption kwa wafanyakazi wa serikali is no longer applicable kwenye imported cars regardless of car cc capacity. Kama unataka huyo jamaa aingie mkenge, basi hafuate huo ushauri wako uliopitwa na wakati.
Tiba
unabishana na Mimi? Mi nafahamu kwa sababu ndio nafanyia kazi hayo mambo sio kwa kusikia kama wewe, narudia tena usidanganye kitu ambacho huna ujuzi nacho
Mkuu, mimi nataka kununua TOYOACE Tani moja na nusu, manual, mwaka 2005, hebu nipe makisio hadi niipate na kama nyie mnayo, tafadhali nijuishe.Mengi ushaambiwa
FOB = ni bei ya gari kule japani
CIF = bei ya gari japani + usafiri kutoka japani mpaka hapa (freight) + insurance
me nipo katika kampuni wa japanees hapa dar kama utapenda ni pm nitakusaidia zaidi!!
We jamaa Ni muongo Sana kama kitu hukijui kaa kimya au uliza, inawezekana akapata msamaha ikiwa Tu gari haijazidi miaka kumi tangu itengenezwe na anatakiwa afanye kazi kwa muda usiopungua miaka miwili. Na msamaha anaoupata ni excise duty on import na import duty pia gari isizidi CC 3000
unabishana na Mimi? Mi nafahamu kwa sababu ndio nafanyia kazi hayo mambo sio kwa kusikia kama wewe, narudia tena usidanganye kitu ambacho huna ujuzi nacho
Duh,Mkuu shark kweli una mauzoefu umenifumbua macho ngoja nikomae hapahapa bongo kula like hiyo:thumbdown::thumbdown::thumbdown:
Wadau me ni mfanyakazi serikalini nimejichanga hela nimepata tumilioni 8.8 Nataka kuagiza gari noah 2001 au 2004 nahitaji msaada katika mambo yafuatayo
FOB
CIF
BID
Hivyo vyote vina maana gani na dealer gani wanabei nzuri yaani website gani e.g BE FOWARD OR JAPAN USED CAR OR SBT JAPAN ambao mawakala wao wapo bongo yaan nisiliwe hela na gharama za kodi zipoje yaan napigaje hadi nilifikishe mlangon
Halafu nimesikia wafanyakazi wa serikali bei zao za kodi zipo chini kuna ukweli katika hili na ninafanyaje hili nipate punguzo hilo
NATANGULIZA SHUKRAN ZANGU ZA DHATI KWA WATAKAOSAIDIA