tuna safari ndefu ya kuendelea, kama tunaendekeza chaguzi tu kila siku pasipo kuwaza maendeleo, mahakama zetu zina watu hovyo wasiojali wala kuthamini kodi za wavuja jasho wa Tanzania. wangetoa adhabu nyingine mbadala
Source TBC
waziri mkuu Mizengo P.Pinda amewataka madaktari wote kurejea kazini kesho na kusitisha mgomo mara moja. je hii amri inayotoka pasipo kuwasikiliza madai yao itatekelezeka?????
ccm ni wachochezi wa migogoro! nani hajui kelele za wanafunzi wa vyuo hivi kama ni ya msingi.
vyuo hivi si mali ya ccm ni mali ya umma,
sasa umma tuchukue hatua hawa vijana warudishwe mara moja,
wengine ni madaktari watarajiwa muhimbili bado miezi michache 2 wamalize
kodi zetu zinapuuzwa na...
mzee, unamatatizo ya akili naomba uje Muhimbili tukutibu. huwezi kulaumu bila kujua chanzo huna tofauti na huyo mwenye dharau na majivuno anayeongea amekaa
leo Rais mstaafu Mwinyi alikuwa na wakati mgumu baada ya wanafunzi kugoma kutoka
eneo liloandaliwa kwa graduation wakishinikiza
i/kurudishwa kwa serikali ya wanafunzi iliofutwa(MUHASSO)
ii/kupinga posho za wabunge
alisalimika baada ya kuleta magari yaliyosheheni polisi zaidi ya tisa huku...
Katika hali isiyo ya kawaida leo kuanzia majira ya asubuhi wanafunzi wa chuo kikuu Muhimbili wameonekana wakidai kupinga ongezeko la posho ya wabunge kwa 154%. katika maandamano hayo walikuwa wamebeba jumbe mbali mbali zikihoji kitendo cha wagonjwa kukosa madawa, kukosekana hata nguo za kuvua...
kamati teule ya bunge imegundua madudu ya kutisha katika wizara ya nishati na madini. Ikiwemo uchangishaji wa mil zaidi ya 418 kusaidia kupitisha bajeti ya wizara ,udhalilishaji wa bunge na matumizi mabavu ya fedha za umma. mapendekezo ya kamati:
Jairo awajibishwe
Ngeleja naye awajibishwe kwa...
kamati teule ya bunge imegundua madudu ya kutisha katika wizara ya nishati na madini. Ikiwemo uchangishaji wa mil zaidi ya 418 kusaidia kupitisha bajeti ya wizara ,udhalilishaji wa bunge na matumizi mabavu ya fedha za umma. mapendekezo ya kamati:
Jairo awajibishwe
Ngeleja naye awajibishwe kwa...
mamilioni ya watanzania yaendelea kupotea kuwalipa wabunge ambao wanapoteza muda kujadili watu/chama kinachowatoa jasho badala ya kujadili maswala ya msingi ya kitaifa eg muswada wa katiba. Tuwe macho watanzania hawa watu hawathamini lile tulilowatuma nalo huko. Hawajui wajibu wao tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.