Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Umeambiwa na mwanamke wa shoka uende ukapige brass band kuongoza maandamano....jiandae kupuliza mdomo wa bata kijana
Yeah...yapo, unaruhusiwa kuandamana nyumbani kwako na familia yako! Ukitoka tu barabarani unaliwa kichwa
 
Ndugu yangu wanatufanyia mizengwe tu pia wana upeo mdogo wa kuangalia mbele
Serikali na hasa huyu Kova watuhakikishie usalama wa watoto wetu tarehe 9 December 2011 vinginevyo kila mzazi afikirie mara mbili kabla mwanao hajaenda uwanja wa Taifa.
 
...alshabab wanaongoza tz sasa. Wao ndio wanatuamulia nini tufanye/tusifanye.
Sisi tumekua wajinga mno.
 
Hawa Al Shabab wameshakuwa tishio kweli kwetu kwani itakuwani vigumu sasa kwa wananchi kukusanyika kwenye shughuli zozote za kijamaa, kisiasa na hata kidini.

Kwa usalama wa raia, ambao ni muhimu sana, itabidi police wasiruhusu watu kukusanyika kwenda misikitini, makanisani, harusini, maandamano, sherehe zozote zile za kisiasa kama maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, mikutano ya vyama mbalimbali kama ile ya CCM NEC Dodoma na shughuli nyingine zozote zile ambazo zitajumuisha wananchi katka mikusanyiko.
 
maandamano mweeeeeendeeeeeee wapiiiiiiiiiiii?somalia??
 
Kumbe jeshi lake ni dhaifu. Kila siku anapiga kelele za EL SHABAB. Kama wapo mbona hawakamati?
 
Ina maana hao polisi wana mafunzo ya kupambana na raia tu, hawezi kupambana na Al Shabaab!!
Mbona hii ni aibu ya mwaka.
 
Kwan hawa polisi hamjawazoea kitukidogo oh habari za kiintelegensia zilizotufikia,sijui alshabab nan kawaambia alshabab wanakuja kulipua maandamano ya watanzania kwan 2nabifu nao. Hapa mwanzo mwisho maandamano palele tangu lini nguvu ya uma ikazuiliwa na virungu na mabomu
 
Jeshi la polisi halitavumiliwa uvunjifu wa amani.
 
hili zee bana..mimacho ile...sictunaandamana afu tuone
 
Huyu kv naye ni mgese mwingine na nadhani tokea apigwe chupa na mke wake akili azijakaa fresh kutokana na kuathirika ubongo na jicho sasa kama mko safi si mtoe ulinzi badala ya vitisho fu-k -g. Diandaeni kuwa exile.
 
Hivi hao al-shabab wanakuwa tishio kwenye mikusanyiko ya kupinga serikali tu. Hao polisi watakaotoka kupambana na waandamanaji kwanini wasitumike kuwalinda badala ya kuwapiga

Shangaa!
Hivi Al Shabaab hawawezi kushambulia kwenye Kagame Challange Cup ambako kuna timu za taifa za wabaya wao kama Kenya?
Mbona visingizio vingine havina mantiki hata kwa mtoto mdogo.
 
Police aliyesema maneno hayo ni Darasa la saba la enzi za nyerere hajui kinachoendelea anasubiria akaririshwe na watawala juu ya utendaji wake na hana techniques za kijeshi.

Alafu tunaliita jeshi la usalama wa raia.
 
maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.


naomba kuwasilisha


my take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

mandamano ni lazima hatuhitaji kibali cha polisi mbona wazee wa ccm wa dar wamekutana. Polisi hawana uwezo wakuzuia maandamano hayo kama hawana ulinzi tutajilinda wenyewe. Saa ya ukombozi imeshawadia hakuna kulala
 
Back
Top Bottom