LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 672
hulijui ulisemalo mkubwa ongea kama mtu uliekamilika kiakili na kimawazo , rudi shuleni kwanza inaoneka hako kaelimu hakajakutoa gizani bado au uliunga unga vyeti{{{{{ ZZZZZZZZzzzzzzzzzzzzz}}}}}huu ni uchochezi wa wazi usio na maana.kule udom mliwahamasisha ma dent wakafanya fujo siku ya mwisho mkazima simu mlipoona maji yamefika shingoni.hakuna jamii inayoweza kuishi bila sheria kufuatwa,kabla ya kumlaumu mtu yeyote tuangalie kwanza makosa ya wanafunzi,tusikurupuke na matamko yasiyo na kichwa hapa.huyo heche hana jipya atumie muda huu kukijenga chama badala ya kuhadaa wananchi kwenye vyombo vya habari.