Recent content by makolola

  1. makolola

    JamiiForums Tanzania ombi kwa rais Magufuli

    Kwanza kabisa ni kuhusu ugumu wa maisha unaozidi kushamiri.: Tunaomba sura za viongozi wote wa umma zifanane na sura za raia walioko mitaani ambao wengi wanaonekana sura zao kukunjamana na kudumaa ingawa wengine wana umri mdogo,wengi wao wana vigezo vya kuwa watumishi ila kama ujuavyo nchi...
  2. makolola

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hukimbia waume zao kipindi hali ya fedha si nzuri?

    Nimekuwa nikisikia kesi nyingi za hivi,tena wanawake wengi hukimbia na mali za waume zao kwenda kujichimbia nazo kwa hawara yake au mabuzi yake. Sasa najiuliza kwa nini wanakuwa na akili nyepesi kiasi hicho? Maana kuyumba kwenyewe kifedha huwa ni suala la miezi kadhaa tu,wanajidhalilisha kiasi...
  3. makolola

    JamiiForums Tanzania hawa jamaa wa british center wa kwa azizi ali wanatoa ajira gani?

    hawa jamaa wamebandika mabango maeneo mengi jijini ila ajira zao hazieleweki?mwenye kuwajua vizuri anijuze.
  4. makolola

    JamiiForums Tanzania wizara ya mambo ya ndani imeanza kuita watu,mimi nimeitwa kwa nafasi ya refugee registration clerk?

    usaili unafanyika wapi na muda gani?
  5. makolola

    JamiiForums Tanzania walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga

    ilikuwa kama wanashirikiana na wizara kama mradi flani sio wizara 100%, ila tatizo lao wanapiga simu tu badala ya kutuma email au sms hawajui wengine huwa kwenye daladala kelele au sokoni. kama kuna aliyeitwa anijulishe
  6. makolola

    JamiiForums Tanzania Mtaji Umekata!

    ulikuwa unafanya biashara gani?ulikuwa unashirikia na watu gani kwa maana ya jinsia na dini zao?
  7. makolola

    JamiiForums Tanzania walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga

    kuna kazi za database walitoa muda kidogo,ndio wakapiga simu kwa ajili ya interview ukonga,ila sikumuelewa vizuri nilikuwa kwa daladala. sikujua hata ofisi zao huko ukonga ni mahali gani
  8. makolola

    JamiiForums Tanzania walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga

    kama kuna walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga wanipe link ya majina ,nimepigiwa simu kwenye daladala sasa sikumbuki tena. nijulisheni.niliomba post ya it wakasema jumanne ila hata eneo silijui
  9. makolola

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa ni nuksi, balaa, laana au?

    mfahamu jini mahaba kisrani nuksi mikosi na kifungo mwilini mwako!!!!!4/07/2015 imeletwa kwenu na dr. Tamba huyu na jini mahaba wa aina yake katika majini mahaba wote jini huyu huwa na athari nyingi na za kisasi na vituko visa kwa alie kuwa nae mwilini mwake jini huyu usababisha madhara...
  10. makolola

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye nuksi

    mfahamu jini mahaba kisrani nuksi mikosi na kifungo mwilini mwako!!!!!4/07/2015 imeletwa kwenu na dr. Tamba huyu na jini mahaba wa aina yake katika majini mahaba wote jini huyu huwa na athari nyingi na za kisasi na vituko visa kwa alie kuwa nae mwilini mwake jini huyu usababisha madhara...
  11. makolola

    JamiiForums Tanzania Nanyimwa penzi na mke wangu

    mfahamu jini mahaba kisrani nuksi mikosi na kifungo mwilini mwako!!!!!4/07/2015 imeletwa kwenu na dr. Tamba huyu na jini mahaba wa aina yake katika majini mahaba wote jini huyu huwa na athari nyingi na za kisasi na vituko visa kwa alie kuwa nae mwilini mwake jini huyu usababisha madhara...
  12. makolola

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Bodaboda za biashara tukutane hapa

    nadhani mkataba unakusaidia kuondoa stress za madereva, leo atakwambia mbovu,kesho kakamatwa lakini kwenye mkataba hakuna hayo
  13. makolola

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Bodaboda za biashara tukutane hapa

    kwa nini usifanye mkataba kabisa, akulipe elfu 10 kila siku kwa mwaka au mezi kumi matengenezo juu yake baada ya hapo iwe yake?
  14. makolola

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM haipaswi kuongoza hata kwa dadika 1 baada ya Oktoba 25...

    ukawa mtashugulikia vipi tatizo la uchawi nchini?
  15. makolola

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

    watu wamefilisiwa mitaji,kila kukicha wanamwaga friji zima la samaki.
Back
Top Bottom