kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
Hahahahaa..isaya tenah..!?
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.
Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu
mfanye kwa nguvu halafu uwe unamwaga nje
smart phone zinatuletea umaskini tu na uvivu wa kufikiriaHahaaaa ushauri wako mzuri sana lazma ndoa idumu......smart 4ne tupa kule
smart phone zinatuletea umaskini tu na uvivu wa kufikiria
ha ha haha kiukweli ni hatari aisee,.. na kutumia miili yetu vibaya ili tu tupate smart phoneNyie ndio mnapenda smart4ne mko tayari kulala njaa ili ndoto itimie....unamkuta sista duu ana i4ne 6 au galaxy s6 n hapo anakaa ghetoo vitu vyote ndani havizidi laki 3....hatarii sana
ha ha haha kiukweli ni hatari aisee,.. na kutumia miili yetu vibaya ili tu tupate smart phone
Mungu wangu umeomba hiyo sala kama vile huna ndugu wa kike... sema wakuepushie ndugu zako wa kike wasiwe na tamaaaNdio zao wanataka maisha mepesi kwa kutoa mpapa kumbe wanajimaliza hawajui......halafu ohhh maisha magumu maninaaaa zao acha mipapa yao ilegezwe n kuota sugu
Mungu wangu umeomba hiyo sala kama vile huna ndugu wa kike... sema wakuepushie ndugu zako wa kike wasiwe na tamaaa