Hao jamaa hawana lolote nawafamu vizuri usipoteze muda wako bure. Wana biashara uchwara za kukupa ukatembeze mtaani bidhaa kama vile; sabuni, mafuta,pafyumu n.k pasipo wewe kupata faida yoyote. Kwa kifupi wapo kitapeli zaidi na wana lengo la kujinufaisha wao tu na Si mtu mwingine. Halafu eti wanajiita British Contact ili uhisi ni kampuni ya maana kumbe wizi mtupu. Nishafanya naona kazi Siku moja tu na sikurudi tena.hawa jamaa wamebandika mabango maeneo mengi jijini ila ajira zao hazieleweki?mwenye kuwajua vizuri anijuze.
Hao jamaa hawana lolote nawafamu vizuri usipoteze muda wako bure. Wana biashara uchwara za kukupa ukatembeze mtaani bidhaa kama vile; sabuni, mafuta,pafyumu n.k pasipo wewe kupata faida yoyote. Kwa kifupi wapo kitapeli zaidi na wana lengo la kujinufaisha wao tu na Si mtu mwingine. Halafu eti wanajiita British Contact ili uhisi ni kampuni ya maana kumbe wizi mtupu. Nishafanya naona kazi Siku moja tu na sikurudi tena.