Kwanini wanawake hukimbia waume zao kipindi hali ya fedha si nzuri?

makolola

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
765
289
Nimekuwa nikisikia kesi nyingi za hivi,tena wanawake wengi hukimbia na mali za waume zao kwenda kujichimbia nazo kwa hawara yake au mabuzi yake.

Sasa najiuliza kwa nini wanakuwa na akili nyepesi kiasi hicho?

Maana kuyumba kwenyewe kifedha huwa ni suala la miezi kadhaa tu,wanajidhalilisha kiasi kwamba familia zao na majirani kujua wako kifedha na sio kimaisha.
 
Mara nyingi wanawake wa aina hiyo huwa ni ulimbukeni kama si utoto unasumbua kumkichwa,lakini pia wanaume wanaokimbiwa ulimbukeni wa kuoa mwenza sahihi unawahusu. Hivo basi ni vema kuishi ktk hofu ya MUNGU na kuwa halisi katka ubora wako.
 
Mimi nilikaa na wife kipindi nimefukuzwa kazi na kampuni binafsi na tuilikaa miaka 2 ya shida sana.

nilikata tamaa ila mke wangu ndo alikuwa kipaumbele kunitia moyo. MWISHO nkapata kazi nzuri zaidi na sasa mke wangu nampatia chchte anachotaka even if its expensive. ANASTAHILI

UUKIONA MWANAMKE KAMKIMBIA MUME KISA SHIDA HUYO SIYO MKE SAHIHI NA ALIKUPENDEA PESA.

MWANAMKE SAHIHI NI YULE ANAYEJUA NINI MAANA YA MAISHA NA NINI MAANA YA NDOA

ATAKAA KWA UVUMILIVU
 
Back
Top Bottom