Baada ya ya kuwapoteza vijana wawili wenye ukwasi wa kupindukia.
Ginimbi na Chivayo je nani tunategemea kumsikia akitingisha Zimbabwe na nchi za Africa ???
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amekutana na Yaniv Hayoun, mmoja wa abiria wa ndege ya Flydubai FZ1073 aliyesaidia kuingilia kati wakati ndege hiyo ilipokuwa ikiporomoka angani.
Kwa mujibu wa maelezo ya Yaniv, baada ya Nahodha Smit Machchhar kudungwa kisu na rubani mwenzake...
Ni tukio la kustaajabisha!
Saa chache tu kabla ya kupoteza maisha yake katika ajali mbaya ya helikopta huko Marondera, bilionea wa Zimbabwe Wicknell Chivayo alitoa vibunda vya kihistoria kwa mawakili wake wa muda mrefu. 🚁💸
Bilionea huyo aliwazawadia mamilioni ya pesa taslimu zinazokadiriwa...
Ukiachana na Wicknell Chivayo, Zimbabwe iliwahi pia kuwa na huyu jamaa kijana mwenye pesa nyingi mno "Genius Ginimbi", jamaa alikuwa ana ma rollys Royce kama uchafu, aliishi maisha ya anasa na kufanya party za kila aina
Cha kusikitisha nae alikufa kwenye ajali yenye utata, kifo cha ghafla...
Kwa katiba ilyopo Raisi anaweza kuteua akiwa bar analewa na washikaji na hakuna chombo cha kufanya approve ya uteuzi ndio maana unakuta wateule wengine kama vifurushi flani .
TMDA Yapiga Marufuku Matangazo ya Dawa za Kuacha Pombe
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imepiga marufuku matangazo yote yanayohamasisha matumizi ya dawa za kupunguza au kuacha unywaji wa pombe.
Dawa zilizotajwa kupigwa marufuku kutangazwa ni Naltrexone, Acamprosate na Disulfiram.
Kwa...
Uganda ni moja ya Taifa ambalo kwenye kikao kule UN walitoka nje kwenye hotuba ya Netanyahu
Uganda ni Taifa ambalo wamejenga sanamu la kaka yake Netanyahu pale Uganda.
Je Uganda wanatofauti na Ndumila kuwili...au mwanamke malaya malaya ??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.