Mi enzi hizo ITV, kuna mdada anaitwa Consolata Godfrey, alikuwa ripota. Yani nlikuwa napenda sana alivyokuwa anasign out- Consolata Godfrey, I T V, kama anavuta flani hivi, so nice.
Wengine ni ABD na Rose Chitala, walikuwa na kipindi chao, yani matani meeengi. Hadi wanabadilishana majina...