Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda Kova amekamatwa bandarini akiiba kontena.

Ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,

Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake, halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao.

Mkuu fafanua vizuri!!!!!!!

Alikamatwa akiiba kontena kivipi????
 
Like father like son.I have always believed tha Kova has something to hide.That something has been revealed.
Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda Kova amekamatwa bandarini akiiba kontena.

Ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,

Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake, halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao.
Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda Kova amekamatwa bandarini akiiba kontena.

Ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,

Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake, halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao.
 
unaongea nini we Mimi cjakuelewa kunyeshewa vidole ni tatatizo kama yes alinyoshewa itakuwa kova ebu mwacheni mzee apumzike kazi yake asha maliza tena vizuri mdongo yakuji pendekeza hatutaki
 
Huyo mtoto wa Kova kweli au basi tu.Ebu wekeni picha yake maana Kova watoto wake ukitaka kuwajua wtazame macho yao copy ya Kova 100%.
 
Watu wa ajabu sana,mambo mengine kama huna uhakika wa unachoongea kaa kimya,mzee Kova muda wake wa mkataba aliopewa na serikali ulikuwa unakoma mwishoni mwa mwaka jana,na siyo kweli eti huyo mzee wa watu kaamua kustaafu ghafla baada ya mwanae kuwa miongoni mwa watuhumiwa wa uhalifu,kwanza huyo mtoto ni over 18 yrs sasa mzazi wake aliyestaafu baada ya makubaliano ya mkataba na serikali kwisha anahusika vipi,Watz tuna matatizo makubwa mno kwa uzushi,unafiki na undumila kuwili,majirani zetu wote wanatujua kwa hayo tu na si vinginevyo

Huoni kuwa ni dalili ya wazi ya chuki waliyonayo kwa Kova? Bila shaka scandal ya mwanae ni ya familia pia. Ina undermine credibility ya familia ya Kovaa. Nilitegemea mwenye akili ungeona uhusiano huo hata bila kuambiwa.
 
Mabadiliko ya kweli hayatapatikana hii nchi mpaka mfumo mzima wa nchi utakapo badilika ;haya mawazo nilisiyasikia zamani sana miaka ya 1970.
 
Samahani nilikuwa Naomba kujua mshahara kwa fundi umeme mwenye level three certificate, analipwa sh. Ngapi serikalini?
 
Mfano PGSS 7. 1 ina ananzia sh ngapi (gross salary) serikalini..
mlioko huko tujulisheni
 
Back
Top Bottom