Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

Kwani ulivyoenda hukujua!!!!
Ulivyoenda ungetaarifu watu kuomba advise sasa unapuyanga
 
Habari wakuu,

Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi Bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa Huyo dada ni Ameathirika na Ukimwi Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?

Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote Ule!

Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?

Msaada tafadhali
..Kama umeweza kujua Elimu ya kujiunga na Jamii forum...sina uhakika kama huna Elimu ya Ukimwi kiasi hicho.lah sivyo wewe ni Mvulana(mtoto mwenye jinsia ya kiume) na siyo MWANAMME
 
Kuna dozi flani inaitwa PEP unaweza kuitumia kabla ya saa 72 kuisha toka ulipofanya mapenzi. Kama yameshapita nadhani waweza jaribu vilevile. Ila chances ni ndogo sana kuambukizwa kama ulitumia condom.
 
Mkuu ushaupat tayari, nina shuhuda kadhaa kwa hilo[emoji23][emoji23]
 
Labda nikutie moyo hakuna ukimwi ila kuna ugonjwa wanauita ukosefu wa kinga mwilini so nahisi ndio unao
 
Kama ulifanya na kondom umepata ukimwi
Ni bora usingetumia kondom wala usingepata ukimwi
Ila kwa sasa tayar unao anza tu kuzingatia balance diet

Na unavyosema huna michubuko,
Kuna michubuko isiyoonekana na huwezi hata kuihisi hata kama ukiweka chumvi

Mi nilishatembea na mwenye HIV bila condom na bahati nzuri Mungu alinisaidia sikupata sa hivi nimetuliza sana.

Nilikaa mwezi minne mawazo
Nikaamua kwenda kupima sina sikuamini nilipima mara nyingi kweli
ulikuwa na ujasir sana wa kupma
 
Swali kama hili angeuliza mtoto wa darasa la nne bado ningemshangaa...

Hivi ni kweli mpk leo watu hawajui maambukizi ya HIV yanapatikanaje??

Anyway... mi nakushauri chemsha maji ya moto afu ulimwagie hilo dushe lako kabla wadudu hawajasambaa mwilini.
Kweli nimeamini kuna watu wanamajibu ya mwendo kasi

*akifanya ujinga unafanya upumbavu*[emoji3] [emoji3]
 
unaweza ukawa na vrusi vya ukimwi lakini we so mwathirikaa, nenda kapime uanze dozi kabla vijidudu havujakoma mkui
 
Nyeg# ni hatari kuliko bom la nuclear unaweza kufanya lolote ukiwa kwenye iyo pressure na kujutia baada ya dakika chache tu jitaidini muwe mnajizuia
 
R.I.P
we unajua kabisa nyapu imeungua halafu ukaifakamia tu
 
Swali kama hili angeuliza mtoto wa darasa la nne bado ningemshangaa...

Hivi ni kweli mpk leo watu hawajui maambukizi ya HIV yanapatikanaje??

Anyway... mi nakushauri chemsha maji ya moto afu ulimwagie hilo dushe lako kabla wadudu hawajasambaa mwilini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
we kwel umechoka...michubuko ya kuambukiza ukimwi unataka uione kwa macho??....
 
Back
Top Bottom