Recent content by Makambuya

  1. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    Hakuna cha ajabu kilichofanyika huko tunduma, ni mwendelezo wa CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).
  2. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Upumbavu wa Teja TID huu hapa, hii ni kama laana kutoka kwa Jide!!

    Kufika form 6 sio kujua english, it depends on where he passed through!
  3. Makambuya

    JamiiForums Tanzania ukikutana na rais kikwete ombi lako moja ni lipi?

    Maisha bora kwa kila mtanzania.
  4. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Vacancy - Loan officer!

    Asante bro bt naungana mdau, kwamba ni bora kusema kabisa mnahitaji wangapi? na mshaha unarate sh ngapi?
  5. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Je unakumbuka vibano na adhabu za shuleni??

    MR. NENGE kidaru Primary school hyo miaka ya 90, duh! ebana huyu jamaa alikuwa nooma, R.I.P en GOD bless him.
  6. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Mimba ya uongo...je anastahili?

    Nashukuru sana kongosho acha nipime kati ya uongo wake na hisia zangu kwake.
  7. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Mimba ya uongo...je anastahili?

    Wadau mimi nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tupo mbalimbali yeye yupo Dar mimi nipo Dodoma, nimekuwa nifanya kila linawezekana kumwonesha kuwa nampenda ikiwa ni pamoja nakufuata dar mara kwa mara. mwezi August nilikuwa nae kwa muda wa siku3 nakudate nae...
  8. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

    Jamani wadau naomba kwa mtu yeyote hasa wa maeneo ya Mbeya, Iringa na Singida anipe details kuhusu upatikanaji wa Kitimoto, nataka nianze biashara yakununua kitimoto nakuwasafirisha Dar es salaam.
  9. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ

    Mbona hili suala lipo kiutani utani zaidi? mtoa maada hajatoa hata detail au ndo anataka aende peke yake? Kuweni serious jamani tunazihitaji hizo kazi.
  10. Makambuya

    JamiiForums Tanzania M4c na chopa 4 huku makatibu na wenyeviti wa wilaya na mikoa njaa kali

    Yeye mwenyewe shahidi akaunti hazina ki2, asa mishahara itatoka wapi?
  11. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Una hela zakunilea?
  12. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nashukuru ndugu kwa maneno yako ya faraja, nazidi kuvuta subira.
  13. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wana jf mi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi kama vile: kuuza kwenye maduka ya jumla, hardware, supermarket na statiory. Sifa zangu: 1. Nina umri wa miaka 25 2. Nimehitimu kidato cha6 (HGL). 3. Nafanya kazi kwa kujituma na chini ya usimamizi mdogo. 4. Nina uzoefu wakutosha kuuza maduka...
  14. Makambuya

    JamiiForums Tanzania Beautiful onyinyeee

    Kavaa maski huyo!
  15. Makambuya

    JamiiForums Tanzania ''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

    Utasema??
Back
Top Bottom