''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

Bia ndio bidhaa inayotozwa kodi nyingi kuliko zote . Kodi hizi ndio hukupeleka India wewe mgonjwa. Bia hutoa ajira kwa malaki ya watanzania ambao hawawezi kupata kazi kwingineko. Bia huleta uchangamfu kwa mamilioni ya watanzania wanaosononeshwa na watawala wao. nk etc
Unaona mnavyo poteza akili, mpaa mnadhani nilienda india kutibiwa kama wenzenu:smash:
 
??????????????????????????? ni kigugumizi ama umechoka? Ka upande wangu sijakuelewa sijui wengine! Anyway you can join me for lunch! Tukutane baa gani? You can find a new friend anywhere like I found you here! Karibu Man!
Ngojea niskisha poteza akili zangu tutakutana tuwe marafiki.
 
Ha ha ha ha ha, dah!

Wee mkali aisee

Ivi mtu unakuwa na haraka gani kuandika mpaka uandike "Nye" ya ndoa?? Sasa kuna uhusiano gani kati ya Y na J? Kwanza hata hazipo karibu, iwe kwenye pc au kwemye simu. Au unakuwa umekariri statement??
 
Mbona hii issue ya kawaida sana....hapa kazini kuna kina dada na ma anti wameolewa na wako kwenye ndoa zao lakini bado tu wanajigonga sana kwa maba chelor kama mm ila tunawapotezea tu ingawa wapo ambao wanavutia na wamejaaliwa miili ya kufa mtu....lolz

Basi wewe siyo kijana msomali original Kijana Msomali
 
Last edited by a moderator:
sarikoki kwanza pole sana
itakuwa mkeo kamegwa na ndio sababu iliokupeleka
kwa Mangi ili kufanya research kupitia dadake mangi
ili ulinganishe tukio la kumegewa mkeo kama na wenzio wanamegewa wakwao vilevile

kwa bahati mbaya sana research yenyewe umeifanyia Bar
hapo lazima upate majibu hayo toka kwa dadake Mangi huyo!

kafanyie research kanisani,msikitini na maofisini..

utuletee majibu upya!
 
Mbona mambo ya kawaida sana Rafiki yangu yuko na mke mdogo wa Shekhe U..... wa mtaani kwetu na mama mchungaji
 
Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni kuhudumia baa mbalimbali na maarufu hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi walioko kwenye ndoa maana huwa anajua mambo mengi na anatusaidia kuondoa stresi kwa utani na masihara yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea kesto yangu baridi na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....Ila kuna kipengele kilinishtua sana.
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa'' mwisho wa kunukuu.
Baada ya kumbishia..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.

Naona umeanza kautafiti vizuri. Ila unaonaje ukipanua wigo kwa kuwauliza watu wengi zaidi na hata wasiokuwa wahudumu wa bar na ikiwezekana wake za watu. Halafu ongeza eneo la utafiti ili usiishie kwenye mtaa wenu peke yake. Ikiwezekana fanya utafiti kwenye mitaa si chini ya kumi na tano kwenye wilaya zote za Dar es salaam yaani mitaa mitano kwa kila wilaya.

Ukimaliza utafiti wako utakuwa na majibu yanayohusu mkoa wa Dar es salaam peke yake. Ukitaka kupata majibu ya nchi nzima itabidi uongeze wigo nje ya Dar na kuhoji wahusika wa mikoa mingine. Usipofanya hivyo thread yako itabaki kuwa ni matokeo ya umbea tu wa mhudumu mmoja wa bar ya mtaani kwenu.
 
Takuombea kwa mungu dua ili zirudi zile ulizo zipoteza, sema ameen :biggrin:

Ha ha haaaaaaaaaa! Njooo ufanyiwe maoombi! Njoo uombewe ewe baba!
Amin amin nakwambia ukipata mvinyo kidogo utafunguka! Karibu kwenye chama kubwa la wanywaji! Utaona faida yake!
 
Ha ha haaaaaaaaaa! Njooo ufanyiwe maoombi! Njoo uombewe ewe baba!
Amin amin nakwambia ukipata mvinyo kidogo utafunguka! Karibu kwenye chama kubwa la wanywaji! Utaona faida yake!
Pole sana utaishia kupoteza pesa na hakuna faida utakayo pata.
 
Pole sana utaishia kupoteza pesa na hakuna faida utakayo pata.

Ujinga wa mwezako ni werevu wa mwingine! Angeendelea ungekuta dada yako nshamtimua kitambo! Unafikiri angeenda wapi na hiyo elimu yake ya kuungaunga! Angekuwa pale baa ya jirani anauza chimpumu!
 
Siyo kweli yaani watu wengine huwa wanapenda kuongea tu,mimi hiyo nitakukatalia hadi kesho ninauthibitisho achana na maneno ya baamedi!....
 
Ujinga wa mwezako ni werevu wa mwingine! Angeendelea ungekuta dada yako nshamtimua kitambo! Unafikiri angeenda wapi na hiyo elimu yake ya kuungaunga! Angekuwa pale baa ya jirani anauza chimpumu!
Ehh pombe eee ona jamaa anavyo ropoka :biggrin:
 
UKWEP N KWAMBA YEY ALICEMA HVO BAADA YA KULEWA VIROBA ULIVOMPA OFA
NA VLVL ALCEMA HIVO KWA7b YY NA MABEST ZAKE WOTE WAHUNI
MBONA WANGU SAFII2......
UKIKAA NA WALEV WATAKWA MBA YA KLEV2 NA OLE WAKO UNGEENDELEA KUKAA.NAE ANGECEMA HATA MKEO YUMO IL UZD KUTOA OFA-WALEV WASHENZ SANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom