Chadema si chama cha kugawana vyeo na kupeana marupurupu,na ifahamike kuwa Chadema si ajira!Walipeni pesa zao.
Utakuwa chooni halafu unakunya pembeni..
Hapa ndipo nachoka, hoja inaweza kuwa nzuri na kueleweka iwapo itatolewa na mtoaji kuwa tayari kuitetea. Huu utaratibu wa kumwaga vitu hapa harafu muhusika anaingia mitini huku janvi likitiririka ndo napata shida kwa hawa ma-greta thinkas.
Wengine huwa hatutumii matusi mara tuonapo bandiko tu ila huwa tunasubiri mtoa hoja afafanue zaidi hasa pale hoja zingine chokozi zinapoibuka ili tuone kama kuna mantiki. Inawezekana akawa sahihi kwa kutushawishi wale ambao hupenda kuangalia pande mbili na kutoa comments zetu.
Mtoa hoja anaonekana ni MwanaCDM kwani mpaka kujua akaunti hazina kitu na helikopta 4 kutumika, ni lazima atakuwa karibu na source ya taarifa. Ebu arudi kutufafanulia zaidi baadhi ya mambo ili tuone kama ana mantiki au ni zengwe.
Wadau hebu tuwe na akili timamu hivi ni lini tumewahi kupewa mahesabu ya mapato na matumizi ya chama? tusikurupuke kumshutumu tu mtoa mada kwani kuna jambo analijua, sisi tunataka watu wenye kua wa kweli lakin kwa namna hii napata picha kua siasa ni unafiki kwani nimejaribu kujiuliza kua ni pesa kiasi gani tunakusanya kwenye mikutano yetu?,tunazitumia kufanyia nini? ukweli ni kwamba hata pale arusha ipo ofisi inamilikiwa na mtu mmoja tu pale na anafanya anavyojisikia kwakua alikua anataka wadhifa fulani kwahio tunaposema kua wakat mwngne tunapoambiwa tuna kundi la watafuta vyeo ni kweli kama tukiwa hivi bila kupima dhamira ya watu wetu tutajikuta tuna viongozi wasio na uwezo mwisho wa siku hatutakua na heshima yyte mbele ya jamii. Bila shaka inatubidi tuwe watu wasiolevywa na viongozi bado tuna safari ndefu kufika tuendako hizi kasoro zetu ni kuzidhibiti muda huu tukisubiri sana tutakuja kukosa pa kuanzia.Muda ni huu viongozi wetu wajitofautishe ili tujue ukweli. si kila mwana cdm ni mdadisi basi wale wadadisi wakisaidie chama.
Ati walipwe pesa zao je unafahamu ni kiasi gani??acheni kutoa mapovu wakati hamuelewi wako na makubaliano gani.Nafahamu mlizoea kulipana huko kwa Magamba mijihela hata hamuulizi imetoka wapi.Chadema ni chama makini viongozi wake wengi hawategemei ati posho kwa kuwa wanafahamu hizi posho si sahihi kwani kuna mambo mengi ya kufanya especial kujenga chama we dont need the so called posho we're working hard to build our Party and we dont depend on this posho.
Walipeni pesa zao.
Wadau hebu tuwe na akili timamu hivi ni lini tumewahi kupewa mahesabu ya mapato na matumizi ya chama? tusikurupuke kumshutumu tu mtoa mada kwani kuna jambo analijua, sisi tunataka watu wenye kua wa kweli lakin kwa namna hii napata picha kua siasa ni unafiki kwani nimejaribu kujiuliza kua ni pesa kiasi gani tunakusanya kwenye mikutano yetu?,tunazitumia kufanyia nini? ukweli ni kwamba hata pale arusha ipo ofisi inamilikiwa na mtu mmoja tu pale na anafanya anavyojisikia kwakua alikua anataka wadhifa fulani kwahio tunaposema kua wakat mwngne tunapoambiwa tuna kundi la watafuta vyeo ni kweli kama tukiwa hivi bila kupima dhamira ya watu wetu tutajikuta tuna viongozi wasio na uwezo mwisho wa siku hatutakua na heshima yyte mbele ya jamii. Bila shaka inatubidi tuwe watu wasiolevywa na viongozi bado tuna safari ndefu kufika tuendako hizi kasoro zetu ni kuzidhibiti muda huu tukisubiri sana tutakuja kukosa pa kuanzia.Muda ni huu viongozi wetu wajitofautishe ili tujue ukweli. si kila mwana cdm ni mdadisi basi wale wadadisi wakisaidie chama.
halafu ile ruzuku inayotolewa na serikali inaenda kaskazini
Ukweli husemwa:
Hapa mimi ndiyo huwa ninachoka pale wanajanvi wanapoamua kuanza kujibu kwa kejeli na matusi kwa vile Mada imebeba ujumbe hasi kwa chama.
Mwana JF ameuliza swali zuri tu na natumaini hata nia yake vilevile ni njema. Swali lake limejengeka katika hoja ya uwiano. Kama viongozi wa juu wa chama wanalipwa mishahara na posho kwa nini haujafanywa utaratibu wa kuwa na malipo kwa viongozi wa chini.
Ikumbukwe, mleta mada anajaribu kutafuta jibu ili liwanufaishe pia watu wengine wenye swali kama hili.
Tujifunze kuvumiliana na kuelimishana ili kuienzi nguzo kuu ya demokrasia kamili.