Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Makambuya, Oct 11, 2012.

 1. M

  Makambuya Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf mi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi kama vile: kuuza kwenye maduka ya jumla, hardware, supermarket na statiory.
  Sifa zangu:
  1. Nina umri wa miaka 25
  2. Nimehitimu kidato cha6 (HGL).
  3. Nafanya kazi kwa kujituma na chini ya usimamizi mdogo.
  4. Nina uzoefu wakutosha kuuza maduka ya jumla na stationary
  5. Naweza kutumia kompyuta.
  Mwenye kunihitaji tuwasiliane, napatikana Dar es salam maeneo ya Ubungo Riverside kupitia namba 0787344728/0752344728. Asanteni sana wadau.
   
 2. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Insha allah tuombe heri kaka. Na kwa kuwa umejitangaza basi kwa uwezo wake atakupatia unachokihitaji. Vuta subira!
   
 3. M

  Makambuya Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru ndugu kwa maneno yako ya faraja, nazidi kuvuta subira.
   
Loading...