Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,784
Mr Kaima alikuwa Ashira Girls!!Huyu alikuwa mkali balaa,katutembeza sana kwa magoti!!!
Mwl Omary hapo Mbuyuni Primary karibu na kanisa la St Peters, ticha alikuwa mnoko huyo...
Mwl. Losujack Ole Ngavuti a.k.a Chifuu (R.I.P) Ilboru Seconday, khaa huyu jamaa alikuwa na sifa sanaaa...
Chifu ni RIP? Really?