ile ni sayansi tuu mwenzetu sasa hv ana landcruizer safi mkonge shaur yao wale waliokodi mabas kwenda loliondo hakuna cha dawa wala nini ni uzush mtupu
sio meno ya fegi wala ya kichaga imetokea tuu kuwa na rangi hiyo pia yanatikishika kwa mbali. naomba msaada, hem nisaidie tafadhal poison ya aina gani ufafanuz plz
Naomba mnisaidie dawa ya kuondoa rangi ya kijani kama kutu kwenye meno hii inasababishwa na nini ? na hii rangi ina madhara? nilienda dental clinic moja wakaniambia kusafisha ni shs. 45,000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.