Meno kuwa na rangi ya ukijani kama kutu

majimbi

Member
Jan 24, 2012
46
3
Naomba mnisaidie dawa ya kuondoa rangi ya kijani kama kutu kwenye meno hii inasababishwa na nini ? na hii rangi ina madhara? nilienda dental clinic moja wakaniambia kusafisha ni shs. 45,000
 
ni meno ya wachaga au ya fegi.........kama ya wachaga tulia nayo coz 2015 yatakusaidia kupata kazi ikulu....
 
sio meno ya fegi wala ya kichaga imetokea tuu kuwa na rangi hiyo pia yanatikishika kwa mbali. naomba msaada, hem nisaidie tafadhal poison ya aina gani ufafanuz plz
 
Hivi kutu ina rangi ya kijani au njano? Na mara nyingi meno yanakuwa na rangi ya njano sasa huo ukijani labda kuna mmea unaota hapo jaribu kuangalia vzuri!
 
sio meno ya fegi wala ya kichaga imetokea tuu kuwa na rangi hiyo pia yanatikishika kwa mbali. naomba msaada, hem nisaidie tafadhal poison ya aina gani ufafanuz plz
nenda kwa denstist aisee kama ni hivyo pole sana........ najua umeimiss supu ya kongoro...
 
jamani mm nawasubiria madactari wakimaliza mgomo wataniambia. asanteni full stop
 
Back
Top Bottom