Jwts watinga muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jwts watinga muhimbili

Discussion in 'JF Doctor' started by mabina, Feb 1, 2012.

 1. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  MAFAHARI WAWILI WAGOMBANAPO= NYASI NDO ZNAZOUMIA.


  Huu ndo msemo sahihi tnaoweza kuutmia wakati huu wa migomo ya madakitari wetu.

  Huu ni msuguano baina ya pande mbili. Serikali na Madaktari, hawa ni mafahari wawili mmoja anajvnia cheo chake na mmoja anajvnia taaluma yake.
  Lakini je ni wakina nani wanaoumia kama sio wagonjwa.
  Sasa ni jukumu letu kuwaachanisha hawa mafahari kabla haljawa jangwa maana nyasi zote ztakwsha na malisho ktoweka.

  Sasa chakshangaza jana, madaktari ktoka jeshi la wananchi(JWTZ) wameenda MUHUMBILI ktoa tiba wakati wagonjwa huwa wanakatiwwa rufaa ktoka hospitali za jeshi kwenda MUHIMBILI kwa wataalam, sasa mtaalamu kagoma, aliyeletwa atatoaje hduma aknifi ingali anapowashndwa kuwatibu hospitalini kwake anawapeleka wagonjwa MUHIMBILI?????
   
 2. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  Well said!!!!

  Wamefika pale na kushangaa vifaa vya kisasa ambavyo hawajawahi kuvitumia!!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Si hawakuweza kutumia vifaa vya pale?? Mi naona kama walienda kisiasa tu na si kufanya kazi
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  swali zuri la kujiuliza ...ila ni JWTZ .... sio JWTS !
   
 5. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kiukweli sjaona suluhsho zaid ya serikali kjrdhsha yenyewe huku ikiwaacha wagonjwa wakhangaika, maana haiwezekan kama ni DOCTOR kweli anapelekwa HOSPITALINI anaanza kshangaa vifaaa?????? Inamaana anahtaji tena muda wa kwenda darasani akajfnze jnsi ya kvitumia. Sasa ataanza ktibu lini kama vfaa havjui kvtmia.

  USHAURI NA SERIKALI YETU MBOVU.
  ======================

  Watmie neno DEMOKRASIA (DEMOCRACY) washauriane, wawasklze mwishowe wayamalize, Kama mwalm J.K Nyerere asngetmia Demokrasia inamaana Tanganika tngepata uhuru kwa kumwaga damu.

  Wakae chini wayatazame matakwa ya madaktari na waje na njia ya kyatatua na co ktmia lugha ya ubabe.
   
 6. m

  majimbi Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwel jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
   
 7. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa serikali ya kbongo hyo mnyonge haki yake yenyewe ananyang'anywa kwa mtutu wa BUBDUKI (eg WAMACHINGA, MAMA NTILIE MWANJERWA MBEYA )

  Unafkiri atapewa na nani
   
Loading...