Wewe Shida yako mtoto asipate choo laini? Au mtoto wako akipata choo kinatoka Rangi gani? Jaribu kwenda hospitali kumona Daktari atakupa maelezo zaidi.Nisaidieni tena. Mtoto mdogo anatakiwa kupata choo gani? Nimekuwa nikisikia choo kinatakiwa kiwe na rangi ya njano. hii ni kwa mtoto wa umri gani? mara nyingine nimesikia choo kikiwa cha kijani huwa kuna shida tumboni! je kuna ukweli ndani yake? nina mtoto wa miezi mitano, anaenda sita sasa, choo chake si kilaini sana japo nimejitahidi kumpa maji kiasi kama nilivyoshauriwa, anakunywa maziwa ya kopo, na yangu tu, vile naenda kazini. Ni nini kinafanya asiwe na choo laini? Je ulaji wangu unamuathiri? wataalam/wazoefu, nisaidieni.
wadau ninarafiki yangu anatatizo la kutopata choo, na akipata hua anaumia sana mpaka damu zinatoka,
naomba ushauri wenu asante.
anywe juic ya ukwaju glas1 (kutwa mara 3)
Nilijaribu zote. But alovera gel. Ndo iliniponya. Kabisa.