Sakata la mgomo wa madaktari : Mnyika jiuzulu upesi umetuaibisha na kutufedhesha

Mkuu mimi sioni kama hoja yako ina mashiko kwa sana,maana jukumu la kuibana serikali lilikua ni la wabunge wote na si Mnyika au CDM,bad enough wengi wa wabunge wamefurahia hii kutojadiliwa kwa hoja ya mgomo wa ma dr wakati watu wanazidi kuteketea,hii ni dhahiri hawa watu si wenzetu na hata wajibu wao kwa wananchi kuna mashaka kama kweli wanautambua,wakujipigania ni sisi wenyewe sasa wananchi....na katika mgomo huu si kwamba wanao athirika ni watu wa CDM au CUF pekee yake,mpaka hao walioiweka serikali madarakani nao ni wahanga wakubwa wa mgomo huu....alafu tunasema serikali au wabunge wetu wanajali kwa lipi???uhabiki haufai maisha yetu yanateketea..
 
Leo madkitari wanasubiri Mnyika awasemee bungeni?si walikataa ushirikiano na CDM au chama chochote cha siasa?Mnyika angeeleza nini bunge wakati hana maelezo yanayojiridhisha?
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho
 
Ndugu fikiria kwakutumia kichwa siyo masaburi wakujiuzulu ni kikwete na pinda Mnyika hausiki acha utoto hivi unaweza je kumwambia mwanaume mwenzako akukanyie mke wako wakati wewe mwenye mke upo badala wewe umkanye mkeo mwenyewe sasa leo unaweza je kumwambia Mnyika ajiuzulu wakati wakujiuzulu wapo kikwete pinda na waziri husika wa sekta husika ndiyo wenye serekali Mnyika anatakiwa kuwakosoa na kuwashauri kwa hoja na ndiyo kafanya hivyo asubuhi Ndugai akapotezea kwasababu hana ndugu anae kufa na kukosa uduma yeye na pinda na kikwete kwani wao na familia zao wanatibiwa India wakizidiwa zaidi nje ya nchi ee MUNGU tusaidie maana hakuna viongozi Tanzania yetu tuna mapimbi
 
mnyika ajiuzulu tu kwa nafasi yake ndani ya Chama

Wee pimbi kwani hili swala ni laki siasa au la kitaifa USIFICHE HEKIMA YAKO BALI FICHA UPUMBAVU wako mahali ambapo pana hitaji siasa weka mahali nijamga la kitaifa usiweke siasa ya chama fulani weka utaifa mbele na huruma kwani wanaokufa na kukosa huduma na akina mama zetu wake zetu dada zetu waja wazito kuji fungulia njiani barabarani ni lakitaifa cyo la Mnyika wala Mbowe wala Zitto wala Tundu Lissu ni la kitaifa ***** wewe
 
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho
Wewe naona umekurupuka kutoka usingizini, yaani wataka kufanya watu wengine wawafikirie madaktari tu na kazi nyingine zisifanywe
 
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho

Una uhakika na maneno yako?na ile hoja aliyoiita ya dharura kwa ajili ya mgomo wa madaktari,haikuungwa mkono na wabunge wa CCM hukuisikia?au umecopy na kupest habari kutoka kwenye kijiwe cha kahawa.
 
..acha izo mambo bana weee!

..why mnyika "and not" wabunge wote wa daaslam?

..kakojoe ulale kijana!..ngoma ya kikubwa hii
 
hapa ni darasani kwangu,mwl makini ntamwelewa na mwalim mbovu sintopoteza muda wangu.mkuu unakuaje great thinker kama huna muda wa kufikiri? tumia vema nafasi yako uwapo ktk forum. napenda kucctza kuwa vema tuache hisia wakuu.
 
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho
Utaandika saana mkuu kujaribu ku discredit mpambanaji Mhe Mnyika lakini utachoka mbona yeye yuko mbele ya hila zako??????

Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho

Ndugu, mnyika katoa hoja bungeni pamoja na ndungulile ila haikuungwa mkono na wabunge walio wengi ambapo zaidi ya 90% ya wabunge wa ccm wamekataa kuijadili ulitaka yeye mnyika afanye nini? Awabebe wabunge mgongoni au awapige bakora? Fikiri kabla ya kutenda hao magamba mliwachagua wenyewe acheni wawalipe fadhila sasa za kuwazomea.

John Mnyika na Nyambari Nyangwine wameliweka juu suala la madaktari dakika chache zilopita Bungeni: Kama kawaida naibu Spika ameyeyusha hoja kama hana ndugu wanaotibiwa nchini: IPO SIKU....
nashukuru kwa kumjibu huyu kilaza aliyeleta upupu wake hapa bila kufatilia mambo kwa kina.
 
mnyika anatumiwa na lowassa!
yaani hapo mkuu umechemka kweli kweli.kuonyesha ulivyochemka nimemuuliza mtoto wa jirani wa form 2 swahi hili.
je,unadhani john,mnyika anatumiwa na nani kati ya hawa na kwa nini?
a/ jakaya kikwete
b/freeman mbowe
c/edward lowasa
d/dr.slaa.
akajibu d/ slaa kwa sababu hizi
dr.slaa anachukia ufisadi sana kama mnyika,dr na mnyika ni wa chama kimoja na kuwa ni marafiki sana ndo maana akiondoka anamuachia kiti
 
Mkulu Chadema swala la madaktari walikuwa wa kwanza kukutana na waandishi wa habari na kulitolea tamko. Suala la Richmond lina tija kumbuka Owner alikuwa analipwa 152,000,000/= kila siku hizo ela zingepatikana sidhani kama madaktari wangegoma kwa sababu chakuwapa kingekuwepo. Hivyo swala la Richmond lina tija, mbunge wangu Mnyika endelea na mapambano achana na vichaa wanaoingilia mtandao wetu wa JF. Peoples Power hakuna kulala mpaka kieleweke.
Mkuu kkitabu watu wamejibadili jina tuu ni kama ID za JF bali ni wale wale wanajilipa bado Tshs 156,000,000/= (USD $100,000) kila iitwayo leo toka TANESCO kwa jina SYMBION POWER!!!! TANESCO iko ICU hali ni mbaya soma mwanahalisi utapata ukweli!!!!

Back
Top Bottom