Recent content by Mahumanga

  1. M

    Wasifu wa Elimu wa Dr. Mary Mwanjelwa

    Mkuu mtu aliye makini, huonyesha umakini wake kuanzia kwake binafsi, familia yake ndio inakuja jamii. Sasa kama huyu mtu kashindwa kuwa mkweli kwenye elimu yake tu je unadhani huyo mtu anaweza kuwa mwaminifu kwenye ofisi ya umma?. Swali jingine la msingi kama ni mtu makini anadanganya elimu yake...
  2. M

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Mkuu nikweli kabisa lakini habari za uhakika Magamba kwenye kesi hiyo wamekata Rufaa kwa madai kwamba mahakamaa kuu mwanza haikuwatendea haki, walalamikaji magamba ambao ni Yusuph Lupilya, Nuru R. Nsumbuga na Beatus M. Madege. kwa mujibu wa nakala hiyo kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikilizwa...
  3. M

    Dr.Mary Nagu: Katiba mpya itakuwa nzuri kama ya mwaka 1977

    Kamanda watu wote wanaotoka kambi ya Magamba ni kama wendawazimu, nimemsikiliza eti nzuri kama ya mwaka 77 sasa kwanini tunataka mpya kama ya1977 ni nzuri, Watu wa magamba ni kichwa cha mwendawazimu.
  4. M

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    mkuuu soma alama za nyakati watu kufanya walivyo fanya ni kuonyesha kuchoka, magamba si watu wewe
  5. M

    Mgombea wa CHADEMA ashinda (Bulifani - Kyaka) wilaya ya Missenyi

    Peoples power ndo kwanza CDM ina gain speed, 2015 hatushikiki kudadadek magamba ndio mwisho wao
  6. M

    Masha Lawrence yu wapi wadau?

    Chezea nguvu ya umma wewe? bado hajarecover toka agalagazwe na Kamanda Wenje. people's power
  7. M

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Kamanda naunga mkono hoja 100%. Shida ya magamba ni kukosa analytical skills za kuchambua mambo, yanakurupuka tu kuropoka mambo. Sawa Mtei ni mwasisi wa CDM lakini si msemaji wa CDM. Shukuran kwa stament yako kamanda Mnyika.
  8. M

    Viwanja vya NMC Arusha

    Guys CHADEMA anaunguruma, listen through www.arushamambo.com
  9. M

    Uhuni huu wa clouds fm!

    We usiwe kama hutumii akili ni wazi kama ulifatilia michezo extra walikejeli sana na kufurahia simba kufungwa na walifikia hatua kusema hata kabla ya mpira kuisha kuwa simba hawana cha kufanya, nakuanza kusema kufa kafa baba yako we nani usife. Bahati nzuri wote waliumbunga pumbavu zao. Acha...
  10. M

    Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

    Huyu tunamtambua hatuumizi kichwa. Anakiwa aludi atafakari maneno yake. Hana wakumushawishi kamwe.
  11. M

    Lusinde anataka kujiuzulu ubunge.

    Huyu Lusinde ni mnafiki tu hanalolote, ajiuzulu tu tuchukue jimbo leto, yupo kama vuvuzela linatoa mlio kadri lipulizavyo, hana vigezo vya kuwa kiongozi
  12. M

    Kama siyo Lema awe nani?

    Dr anamajukumu makubwa sana. Istoshe CDM wana watu wengi makini hata Magamba wanalitambua hilo. Hata hivyo ngoja tuone makamanda watakua wameamua nini pale NMC then tutapata mwelekeo. People's
  13. M

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Makamanda tukopamoja sana. People's
Back
Top Bottom