Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

Mungu wa Kweli mmoja ndio mungu wa chadema bali CCM wao wana polisi, mahakama na amri.
THE TRUE ONE ALMIGHT GOD OF US, IS THE GOD OF CHADEMA.
 
Nina hamu sana ya kusikia tamko la Makamanda wakuu wa CHADEMA kuhusiana na hukumu ya Kesi ya Mhe. Godbless Lema kama Chama kitaamua kukataa rufaa ama vipi. Maana magazeti ya leo yametonya kwamba kuna WANASHERIA WAMESEMA HUKUMA HIYO KUNA VIFUNGU VIMEJICHANGANYA na hivyo yaelekea kesi hii ina utata katika hukumu yake.

Tunasubiri.
 
wamechemka sana hawa magamba. Na hivi leo public holiday, sijaenda job ndio nipo njiani from moshi to Atown a.k.a revolution city.
 
Ushauri kwa kamanda tukubali matokeo ya mahakama za ccm tukate rufaa uchaguzi mdogo kwa wananchi ili washike adabu.
 
Jamani tunataka coverage yenye akili maanake hakuna dalili ya TV yoyote kufanya hivo. Si unajua hivi sasa Magamba kinyesi kinagonga vidaso vya ndani?!!!!!!!:A S-fire1:
 
Tunawatakia kila la kheri wana wa Arusha, Mungu hawaepushe na mabomu ya machozi maana hao magamba wakisikia kuna mkutano wa CDM huwa matumbo moto. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.
 
Leo hapa Musoma pia tunakinukisha, mkutano mkubwa kabisa katika viwanja vya Shule ya Msingi Mukendo.

Twanga kotekote!!!
 
Tupo kwenye maombolezo jamani. Mambo ya mikutano tena yanatoka wapi?
 
Msiwe na haraka makamanda watu wanajaa kwa kasi ya ajbu. Viongozi wetu bado hawajafika. Naona hapa france corner kuna defender 3 za ffu sjui ndo wamekuja kwenye ukolofi
 
Back
Top Bottom