Kama siyo Lema awe nani?

Jimbo la arusha mjini lisiachwe wazi na ni mwiko kwa jimbo kwenda ccm.
CHADEMA mtumieni huyu katibu wa mkoa Amani Golugwa kugombea ubunge wa arusha mjini. Nasikia ni rafiki mkubwa sana wa Lema na tunavyomjua ni mtu mwema sana na Lema ataweza kutembea naye kwa urahisi kufanya nae kampeni maana ni rafiki yake.
Iwapo mtakata rufaa na ccm wakaendelea kucheza rafu zao dhdi ya Lema jamani changisheni karata vizuri.
 
UTANIPENDA ww umetumwa na LUSINDE au?unashauri wewe kama nani?chadema ina washauri wengi mno,LEMA hajazuiwa kugombea na yeye ndo mgombea,nyie magamba mnajifanya kushauri vile maana LEMA mnamwogopa na sisi ndo huyo anaingia pale.
 
CDM tunajua tutamweka nani, bado mapema. subiri kwanza uone moto wa CDM. Nguvu ya Umma si mchezo. hapana chezea CHADEMA weweeee, Kaa chonjo. Njoo baadae saa 7 mchana uone mwenyewe.
 
Ile hukumu imekaa kimtego, kwa ilivyo kaa lema akigombea, watamuwekea pingamizi tu na tume yetu lazima watamtoso tu
 
Rufaa ni haki ya Lema, Chadema, wanachadema na Watanzania wote wapenda amani na mageuzi. Hukumu ya rufaa itatoka ndani ya siku 120, so we could have loose nothing, na Lema ataibuka kidedea kwa kurudishiwa kiti chake cha ubunge, na haki zake zote.
 
Hapa hakuna ki2, lazima tufanye juu chini lema arudi mjengoni. LEMA IS EVERYTHING.
 
Ile hukumu imekaa kimtego, kwa ilivyo kaa lema akigombea, watamuwekea pingamizi tu na tume yetu lazima watamtoso tu
Hakuna hukumu inayokaa kimtego. Hati ya hukumu itajieleza wazi kama amezuiwa ama la.
 
Mbona mnamezea mate jimbo letu?
Subirini tamko la chama acheni papara!
Kama suala ni kupendekeza wapo wengi wa kugombea na wanafaa kuwatumikia wananchi. Kama dogo Nanyaro nk.
 
Kutokana na Kile kinachoendelea baada ya Lema kufuvuli ubunge huku hukumu ikigubikwa na utata wa kisheria ambao unaonekana kuwa ulikuwa umepangwa etheir kwa chuki kwa Lema au CDM.Wanabodi wengi wametoa ushauri kwa kuzingatia utaalam wa kisheria na siasa kwa ujumla. Naungana na Thread ya Luteni ambayo ameshauri lema apewe kazi nyingine ya kujenga chama na kwa jimbo la CDM imsimamishe Kamanda Nanyaro kutetea Jimbo!
Haya Ni mawazo yangu tunaweza kuyaboresha kama inafaa lakini bottom line tunataka kutetea jimbo la Arusha.
Naomba kuwasilisha
 
Mapema sana kamanda, japo kwenye uzi fulani hivi nimependekeza kama wewe
 
CDM ni chuo cha Demokrasia TZ.. UTANIPENDA tambua kua CDM haiweki mtu kwa uswahiba.. Kamanda Lema hajazuiwa kugombea hapa.. Wana CDM watamcmamisha mgombea chaguo la wana A-Town.. Wewe na timu yenu (MAGAMBA) ndio mjipange
 
Waarusha walishasema hata jiwe likisimamishwa na CDM watalipigia kura.
 
Tatizo siyo mtu wa kugombea, tatizo tunataka haki itendeke na ionekane inatendeka. Makamanda wa kushika nafasi ya Lema wako wengi. Mbona hata Dk. Slaa anaweza kuingia kazini na kumshikia Kamanda Lema kiti hadi mwaka 2015 mambo ya mahakama yatakapokuwa yamesharekebishwa?
 
Jimbo la arusha mjini lisiachwe wazi na ni mwiko kwa jimbo kwenda ccm.
CHADEMA mtumieni huyu katibu wa mkoa Amani Golugwa kugombea ubunge wa arusha mjini. Nasikia ni rafiki mkubwa sana wa Lema na tunavyomjua ni mtu mwema sana na Lema ataweza kutembea naye kwa urahisi kufanya nae kampeni maana ni rafiki yake.
Iwapo mtakata rufaa na ccm wakaendelea kucheza rafu zao dhdi ya Lema jamani changisheni karata vizuri.

naamini uongozi wa juu wa chadema upo makini sana na comited.
wala hautofanya ajizi yoyote kuliacha jimbo litokomee ccm kwa kumteua mtu asiefaa kugombea jimbo.
lakini pia le bado anaruhusa ya kugombea tena na wanaarusha natumai wanamkubali sana aliekua mbunge wao.
hivyo tusubiri tu siku ya kura basi.
 
Kutokana na Kile kinachoendelea baada ya Lema kufuvuli ubunge huku hukumu ikigubikwa na utata wa kisheria ambao unaonekana kuwa ulikuwa umepangwa etheir kwa chuki kwa Lema au CDM.Wanabodi wengi wametoa ushauri kwa kuzingatia utaalam wa kisheria na siasa kwa ujumla. Naungana na Thread ya Luteni ambayo ameshauri lema apewe kazi nyingine ya kujenga chama na kwa jimbo la CDM imsimamishe Kamanda Nanyaro kutetea Jimbo!
Haya Ni mawazo yangu tunaweza kuyaboresha kama inafaa lakini bottom line tunataka kutetea jimbo la Arusha.
Naomba kuwasilisha

Tusiwe na haraka ambayo itaonyesha kama CDM imechanganyikiwa, ufanisi wa sheria revision inaweza kufanyika na kurekebishwa
vipengele tata, na kumweka Lema kuendelea kuwa mgombea. kifungu cha sheria kipo wazi kinachomruhusu bali Jaji kajichanganya
mwenyewe kwa kutokuelewa nini anachokifanya, kutokana na shinikizo la watawala pamoja na rushwa kubwa aliyopewa na kuvu-
ga haki.
 
Dr anamajukumu makubwa sana. Istoshe CDM wana watu wengi makini hata Magamba wanalitambua hilo. Hata hivyo ngoja tuone makamanda watakua wameamua nini pale NMC then tutapata mwelekeo. People's
 
Back
Top Bottom