Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Na asije CHADEMA aslani
Kwa taarifa A - Level Siha Secondary School ilianza 1991 na si 1983. Tutadanganywa kwa mengi!!!!!
Hapana mkuu!...huyu mama ni kichwa sana,sema chama alichokuwepo si kisafiNa asije CHADEMA aslani
hapana mkuu!...huyu mama ni kichwa sana,sema chama alichokuwepo si kisafi
Na kwanini wewe umesema asije CDM aslani? funguka wewe kwanza then nitafuatiakichwa kivipi?
Mkuu,si hilo tu bali hata huko mbeya kupata nafasi ya uongozi kupitia ccm ni kazi kubwa sana! you know why? ccmHao wabunge wanawake wazee kutoka mkoa wa Mbeya ndio wanaompaka matope huyu dada kwani wanamuona ni tishio kwa wao kuendelea na ubunge!!
Mkuu, huyu dada ni jembe la ukweli nilibahatika kukutananae vijiji fulani mkoani mbeya akifanya mambo ya maendeleo kwaNazani hata kama u-doctor wake ni fake basi tuaangalie deliverables haswa katika kutumikia wananchi na kupunguza umaskini.
HeheheheheehhhH!!!!Kwa taarifa A - Level Siha Secondary School ilianza 1991 na si 1983. Tutadanganywa kwa mengi!!!!!
Kwa taarifa A - Level Siha Secondary School ilianza 1991 na si 1983. Tutadanganywa kwa mengi!!!!!
Ni Dr. Magumashi huyu ndio maana analilia uwaziri wakati kuna wenzie kibao hawakuteuliwa. achana nae
PHd yake ni ya heshima. Sikumbuki ni chuo gani kilichompa hiyo degree, ila nakumbuka alikabidhiwa hiyo degree ya heshima pale Mikocheni B Assemblies of God (kwa Dr. Rwakatale) Habari ndo hiyo!
Taarifa hizi nimezitoa kwenye website ya Bunge. Pamoja na kwamba anaitwa Dr. mwanzo wa jina lake, lakini hakuna mahali panapoonyesha huo u-Dr. unatokana na yeye kupata PhD, au MD, au BVB au Honoris Causa. Pili najiuliza kama Centre for foreign relations walianza lini kutoa BA. Kwa kuwa hadi leo hii chuo hicho kinatoa elimu katika ngazi ya Cheti, Diploma na Post-Graduate Diploma. Huyu amedanganya taarifa zake za elimu, pia hakuna chuo kinachoitwa " Institute for Diplomacy & International Relations" bali kuna "Centre for Foreign Relations"
Salutation Honourable Member picture
First Name: Dr. Mary
Middle Name: Machuche Last Name: Mwanjelwa Member Type: Special Seat Constituent: No Constituency Political Party: CCM Office Location: Box 72140, Dar Es Salaam Office Phone: +255 787 032800/+255 767 032800 Ext.: Office Fax: Office E-mail: Member Status: Date of Birth
EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Muungano Primary School Primary Education 1971 1977 PRIMARY Sangu Secondary School, Mbeya O-Level Education 1978 1981 SECONDARY Siha Secondary School, Moshi A-Level Education 1982 1983 HIGH SCHOOL Institute of Management & Information Technology Advanced Diploma 2001 2004 ADV DIPLOMA Institute for Diplomacy & International Relations , Kurasini Dar Es Salaam
BA 2006
GRADUATE St. Augustne University of Tanzania Degree (Mass Communication) 2009 MASTERS DEGREE
CERTIFICATIONS Certification Name or Type Certification No. Issued Expires No items on list
EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date The Parliament of Tanzania Member - Special Seat 2010 2015 Population Services International (PSI) Tanzania Director 2006 2010 Placer Dome Tanzania (Gold Mine) Manager - Liason & Corporate 2001 2005 Two Wings Pegasus Ltd - Tanzania Manager 2000 2001 Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), Tanzania Assistant Information Officer 1999 2000 Agakhan Foundation Administration Officer 1998 1998
POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2007 2012 Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - UWT National Board 2007 Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Regional General Council 2006
PUBLICATIONS Description Published Date Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "Mobilising Women in Tanzania for Election & the Empowerment" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam. 2009 Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Role of Communication in Enhancing the Political Participation of Women" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam 2009 Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Plight of Women in Economic Struggle & a Case of Tanzania Women & Leadership", Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam 2010
SPECIAL SKILLS Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level No items on list
RECOGNITIONS Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
CFR pia hawatoi BA wana Post graduate wale
Hao wabunge wanawake wazee kutoka mkoa wa Mbeya ndio wanaompaka matope huyu dada kwani wanamuona ni tishio kwa wao kuendelea na ubunge!!
Hapana mkuu! sema huyu dada mie namkubali sana....kuna siku nilibahatika kuhudhuria mkutano wake pale Mbalizi Mbeya
hakika aliongea mambo mazito sana na yenye point kwa Taifa letu....amini nakuambia mda wote aliokuwa anaongea pale
na wananchi hakuigusa CDM wala Rais wetu wa Mbeya (SUGU) So kwa haya machache nikaona huyu dada ameshazisoma
alama za nyakati.