Viwanja vya NMC Arusha

Waweja sana Makamanda wa Ukweli,CDM hata wakiweka fenesi litapita tuu!!!

Aaiii weeweeeee! Wewe waweka fenesi ccm waweka msukule. Kila mmoja wenu anasema bado ushindi upo. Kweli Bongo tunachezewa mwe!
 
Ama kweli kila kitu na mwisho CCM aka wanyonyaji ana wezi wa mali za masikini, aka wadhumaji wakubwa aka wawekezaji wakubwa wa mahoteli aka wahujumu wa safiri za uma kama Reli na ATC, aka wafirisi wa ttcl na kukumbatia makampuni ya ki rostm aka wahujumu wa mistu wanasafirisha magogo usiku aka wahujumu wa Tanesco aka wapenda kukaa dsm huku mji mkuu uko dodoma aka wauaji aka zenu safari mnahudhuria hadi harusi na kurazimisha muitwe wageni rasim aka wabania vyombo vya habari aka hamna aibu mnasema uchumi umepanda aka wazee wa kugawa vyeo kwa kupoozana aka mnawaza hela tu aka waruhusu watu kutoka nje kufanya kazi kwenye makampuni huku raia wapo wenye uwezo wakufanya kazi hizo hara makampuni ya simu na madini. Nataka Mwenezi wa magamba aongee sasa kuhusu haya. Samahan kwa nitakaye mkera cz nina hasira
 
Back
Top Bottom