Recent content by Magweiga

  1. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Huu uzi ni wa zamani na ni fantastic sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Magweiga

    JamiiForums Tanzania AZAM TV mnaamanisha nini kutulazimisha kuangalia taarifa ya habari via Azam App?

    Kwa takribani wiki mbili sasa,taarifa ya habari ya saa 2 usiku haionekani mubashara kama ilivyokuwa zamani,na badala yale wanawaelekeza wateja wao kuangalia taarifa hiyo kupitia Azam App Hivi wanaamini kila mwenye king'amuzi cha Azam ana simu ya rununu??Hivi wanajua internet coverage ya Tanzania...
  3. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

    Of course they are very intelligent...Ukienda pale MOI wale madaktari wa mishipa ya fahamu na ubongo(Neurosurgeon ) wote ni wahaya.....This is one of the speciality in medicine ambayo ni ngumu sana .....
  4. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Ray Kigosi akiwa na mwanae Jayden!

    Anamvalisha vipi mtoto wa kiume hereni???Kwa kweli tunaandaa mashoga yajayo
  5. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

    2
  6. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Alichokosea ni kutowashukuru Madaktari wa Hospitali ya Dodoma ambapo alienda na kiasi kidogo cha damu kutokana na kuvuja damu nyingi.....Pale kwake ilkuwa ni golden minute.....Bila wao hata Nairobi asingeenda......Pole sana comrad e..
  7. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

    Hana jipya huyo......Ameshasoma alama za nyakati na ndo anatapatapa.......
  8. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

    Rais wa bao au????? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu nursing

    Hawezi soma nurse.... Ingia NACTE utaona vigezo wanavyohitaji ....Hiyo labda akasome kozi ya Medical Attendant mwaka mmoja
  10. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Serikali ni bora mfukuze watumishi wote kisha muanze upya kuajiri wale mnao wataka

    Kwani Mbona ipo. ...Kila taasisi kwa sasa inatumia mfumo wa OPRAS
  11. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Hii ni hatari Sana... ingekuwa daktari angefutiwa usajili na kunyang'anywa leseni, angekuwa Padre basi leo angepaswa kurudisha Mali zote za kanisa kwa askofu wake....Nawaonea huruma Sana followers wake
  12. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    Huyu Mbatia ameshaua chama chake, yeye kila siku anaenda kupokea wanachama wanaojiunga CHADEMA, yeye hakuna hata mmoja aliyejiunga kwake.... Baada ya huu uchaguzi kitakuwa kama UPDP cha Fahmi Dovutwa. Ila kinachomsumbua ni uchu wa madaraka
  13. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Laana ya kuchukua mafisadi papa itaimaliza Chadema...... Mwaka huu hata asilimia arobaini hawaipati, kazi kwao.... Watajutia kumchukua Lowasa na kampeni meneja wake Sumaye
  14. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini amvaa Dr. Slaa kuhusu Maaskofu kuhongwa na Lowassa

    Hana jipya huyo, mbona fedha za Rugemalira alipokea
  15. Magweiga

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli ni jimbo gani CHADEMA itajivunia kuleta mabadiliko?

    Hamna jipya kazi kupiga Kelele kwenye majukwaa.... Kwa mfano jimbo la ubungo Hamna chochote, maji ni shida kweli kweli
Back
Top Bottom