Serikali ni bora mfukuze watumishi wote kisha muanze upya kuajiri wale mnao wataka

Kila mwaka tunafanyiwa tathmini kwa kutumia OPRAS, bado hiyo haitoshi?
Mkikuta performance yangu ni 200% mtanilipa shilingi ngapi?
Acheni UKUDA huo...
Ivi hawa wakuda huwa wanapita huku kweli?
 
TUCTA acheni kukata pesa kwenye mishahara ya watumishi mnajaza matumbo tuu wajibu wenu hamtekelezi!! Shame
 
Niliajiriwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma, na nitafukuzwa kwa sheria na kanuni za utumishi wa umma, sawa bro?
Mkuu fanya kazi na ulete deliverables....muda wa mazoea umepita
 
Inaelekea serikali inataka kupunguza wafanyakazi bila malipo ndomaana figisufigisu haziishi
 
Mtawaonea Tu Kwa mara nyingi fedha hazitoki sawasawa na zinavyoombwa ktk budget na hivyo kushindwa kutekeleza majukumu yao.Mfano mzuri ni kushindwa kwwa OPRAS
 
Niliajiriwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma, na nitafukuzwa kwa sheria na kanuni za utumishi wa umma, sawa bro?
Ndio ufanye kazi sasa kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma..sio kuleta ujanja ujanja kusubiri mwisho wa mwezi
 
Tumechoka maslahi ya watumishi ikiwa ni pamoja na mishahara hamtoi inakua kila Siku kero tu kwa watumishi kila Siku linaibuka hili kesho hili hakuna maslahi ya mtumishi yakugusiwa hata Siku moja ni lawama tu Why?
 
Furaha yangu ni kwamba wanaongea alafu wanasahau,suala la mimi kuwaibia serikali ni muendelezo tu wa kuibiana kati yetu maana kama wanavyoniibia hakika naendelea kuwaibia na kwa sasa niko pamoja na wezi wenzangu wote ambao ni watumishi wa umma nasisitiza TUENDELEE NA WIZI.
 
Zoezi hili ni muhimu sana, kuna PHDs kibao lakini deliverables zao hovyoooo ... point to note ni kuwa Zoezi hili halihusiani na mishahara ya watumishi ... upotoshaji upingwe kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom