Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Umesomeka mkuu, Mawazo ya biashara yapo mengi kama ulivyojaribu kuonesha, shida yetu kuu ni mitaji ya uhakika.

Historia haiishiwi wino.
Ili kuondokana na tatizo la mtaji anza kidogo na uanze kukua.Mfano una maono ya kufungua bakery,anza na kuchoma maandazi huku ukiSave pesa na kukuza mtaji.Kidogo kidogo mwisho wa siku utafikia malengo yako!
 
Mimi nnashida ya mfuko midogo kwa ajili ya pakage ambaye anajua jinsi ya kutengeneza au yeye anajua panapo tengenezwaa kwaajili ya kuweka sabuni za una na kuuziuzaaa.

Nicheki afadhali.. private
 
CHASHA FARMING,
Hapo nakuunga mkono kabisa, mtaji wa kwanza ni wazo lako na sio pesa kwanza kitu ambacho wengi hawaelewi. Kuna watu wana pesa ila hawajui jinsi ya kuzizalisha (sio kuzitumia). Tengeneza wazo lako vizuri, fanya utafiti wa kibiashara vizuri !
 
Ww ndo Utakuwa dereva uendeshe bodaboda yako au Unataka kuajiri mtu?
Wapendwa, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ambao sasahivi nakaribia kuhitimu, hivo basi mara nyingi huwaga nawaza sana kuanza biashara ya bodaboda, kwa hiyo ningepnda mtu ambao akona experience ya hiyo biashara anieleze, je inanufaisha na challenges zake ni gani.
thanks
 
CHASHA FARMING,

Ni dhahiri kabisa kuwa watu wengi wanazopesa lakini wanakosa ni jinsi gani wataweza kuziendeleza.. Ni vyema kuwa na wazo zuri la biashara ili uweze kuendeleza mtaji wako. Siku moja niko na msilovenia mmoja aliniambia

"umezaliwa kwenye nchi yenye kila kitu unahitajika kupambana mpaka mwisho kieleweke, akaniambia angalia ardhi iliyo na rutuba, jua linaangaza kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna maji kila kona ya nchi, kuna upepo kuanzia asubuhi mpaka asubuhi(saa 24 kuna Upepo)"

ni nini kinakukataza kuwa tajiri. Hivyo niliwaza saana hadi leo alinishawishi nimemiliki ardhi na siku moja nichimbe kisima kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.

Karibuni sana
 
CHASHA FARMING,

UBARIKIWE ASEE NIPO KTK MOJA YA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA MASWALA YA UDEREVA YANI ELIMU YA USALAMA BARABARANI NA MM NI INSTRUCTOR (MKUFUNZI) Nimesoma vzur nimeelewa nanimependa mawazo yako ikiwa mm ujuzi wangu ndo huu kutoa elimu naweza nikaanzisha wazo gani lakuniingizia pesa kutokana na UJUZI HUU NLIO NAO plz ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom