Recent content by Magwagu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    kwa huku mpunguzi nakodi shamba 50,000 nanunua mbegu ya matikiti 120,000 mbolea 50,000 inayobaki ni kwaajili ya madawa. Halafu shambani naingia mwenyewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shamba la kulima alizeti

    Njoo nikukodishe eka 3 kwa 150000 nipo dodoma na eneo lipo dodoma na ni zuri kwa alizeti
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbuzi dume 100 nanunua.....

    Njoo pm Mimi nipo dodoma na utapata hiyo idadi ya mbuzi unao wahitaji
  4. M

    JamiiForums Tanzania Coins zinahitajika haraka

    weka namba tuwasiliane mm ninazo nyingi na moja ni bei gani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kugombea Ubunge hapa Tanzania 2020

  6. M

    JamiiForums Tanzania Members Only! Bonge la surprise!

    Duuh! nimecheka sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Shiriki shindano la #ChinaMade kujishindia simu ya Huawei au Xiaomi Arm Band

    #Chinamade Mimi ni mkulima wa kilimo cha umwagiliji. Mwaka huu mwezi wa pili nilinunua waterpump aina ya boss. Nikawa nimelima bustani ya nyanya,sikuamini kwenye mavuno maana nilivuna mara tatu zaidi ya mavuno ya hapo mwanzo,hvo ndo nimenufaika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dhahabu nyeusi.!

    Habari wanajamvi? nauliza kwa wataalamu wa madini eti kuna dhahabu nyeusi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanganyika packers: Kampeni ya chama cha demokrasia na maendeleo 01/10/2015

    CCM hali mbaya sana, jana tu wamefanya mkutano wao hapa dodoma. Leo wamenitumia msg kushukuru na kuomba eti nimchague magufuli
  10. M

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

    simba 1 yanga 1
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shule bora za Serikali, enzi hizo

    Kondoa girls mbona haipo kwenye listi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

    Zitto kachelewa sana, hayo maamuzi magumu alitakiwa ayafanye kabla na sio leo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Thamani ya rupia

    Wakuu habari za weekend? Jamani nauliza thamani ya rupia ya mjerumani maana nasikia ina thamani sana! Kama ni kweli mi niuze ya kwangu. Anayejua soko ani pm.
Back
Top Bottom