Coins zinahitajika haraka

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,783
12,498
Wakuu heshima iwe kwenu.
Ninahitaji pesa za sarafu(coins) za Tanzania. Iwe shs 1 ziwe kuanzia mwaka 1970,71,73,76,78 na 79,zinahitajika kama 100coins.
Mwenye nazo njoo PM haraka.
Mzigo unahitajika Arusha.
Asanteni!
 
Wakuu heshima iwe kwenu.
Ninahitaji pesa za sarafu(coins) za Tanzania. Iwe shs 20,na shs1 ziwe kuanzia mwaka 1966 hadi 1980,zinahitajika kama 100coins.
Mwenye nazo njoo PM haraka.
Mzigo unahitajika Arusha.
Asanteni!

weka namba tuwasiliane mm ninazo nyingi na moja ni bei gani
 
Mie Nina senti 5 ya mwaka 75 & 78 pamoja na senti 50 sikumbuki mwaka wake
 
Atakuambia anahitaj hzo coin 100 kwa sh. Let say 500 utamuuzia, jumla 50,000 kwa coins zote. Then kesho atakuambia kuna mtu mwingine anataka hzo coins kwa 2000 na zinahtajika coins 1000, so atakuambia umtafute na mwenzako kwan coins zonajtajika nyingi.. Na atakuunganisha kwa rafiki yake mwingine.. Huyo rafiki atakukuconvice kwamba. Mumrudie jamaa ili awauzie tena hzo coins1000 ili mkapige hzo 2000 kwa coins. Yy atawauzia tena kwa 1500 so (1000*1500=1,500,000). Mkisha nunua hamtampata tena huyo mtu anayezitaka kwa 2000 so inakuwa imekula kipande chako. So anakua amemake faida ya 1,450,000.
 
Wewe jamaa unajua sana maana nilikuwa nafahamu mchezo unavyoenda ila nashangaa kama Taperi anaruhusiwa kutoa TANGAZO humu.

Mimi waliniletea pigo kama hizi wakitaka shilingi 20 kwa bei ya milioni 5 lakini wakasema iwe ya mwaka 1993 nilikuwanayo ndo nikawapa wakanipa milioni 2 kisha wakasema tunagawana eti hela za majini lazima kugawana wakanipigia hesabu kweli halali yangu ilikuwa ndo hiyo.

Walivyorudi kutaka tukatafute hela hizo zaidi wakakuta nimelipa kodi kwenye fremu nafanya biashara kama kawaida yangu walinishawishi sana mwishowe wakanipigia simu kama wananitishia eti kutoka kuzimu nikamwambia huyo mtu kutoka kuzimu naenda polisi baaaasi wakaanza kunitafuta kwa njia nyingine wakanikosa kwasasa ni MBWA KALA MBWA.....

Muwe salama msijiingize kwenye huu ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom