Nataka kugombea Ubunge hapa Tanzania 2020

Mungu mweke mbele sana kwani Siasa za kiafrika ni uadui sio kujenga hoja. Ndo maana wanasema Siasa si hasa
 
Tajitahidi.

Mbunge aliyopo na walo pita hawana uchungu na JIMBO HILI......

Huna jipya wewe, kama hata kutaja jina ya jimbo tu ulilopo ili tuone hayo uliyotaja hayapo kama ni kweli, utaweza kuongoza jimbo? Halafu unaonekana ni mtu unayeamini ukabila kwa kusema hao wanaoongoza ni watu wa kuja. Inawezekana hiyo background ya maisha yako imeleta athari za kisaikolojia kwenye maisha yako. Ni jambo gani la msingi ulilofanya mpaka sasa hapo jimboni kwako ambalo linakutofautisha na wengine na kuonyesha uwezo. Ama umeamua kutafuta maisha kirahisi hivyo ukidhani wengine wote ni wajinga kisa una kaelimu kako ka chuo kisichofahamika?
 
Sawa mkuu. Yote ni Maoni
 
Salamu kwenu wakuu!!

Niheshima yangu kuwaombeni mchango wenu was mawazo ili kufanikisha Adhima hii.....!

Natoka familia Maskini yenye mzazi mmoja wa kike pekee, japo Baba yupo lakin hakunijali toka utoton hata mkewe wa ndoa hajijui na watoto wake hawanijuai japo Mimi naijua familia yake (Baba) kwa 85% lakin wao hawanijui.

Mimi ni Mtanzania kwa kuzaliwa na nimesoma hapa hapa nchin, Elumu chuo kikuu flani hapa Tanzania,

Natazamia kufukia 2019 nitakuwa nime hitimu digrii yangu ya Pili katika fani FLANI HIVI ambayo ni mwebdelezo wa hii Undergraduate niliyo nayo ........!

Sija wahi kuwa Mwana siasa wala mfuasi wa chama chochote mpaka sasa!

Lakini naumia sana Jimbo letu huwa tuna letewa wabunge ambao si wazawa wa jimboni, na wengine ni huwa hawana hata Uhalisia wa Kitanzania hudhaniwa ni wakuja!

Mpaka sasa jimboni kwetu hatuna hata Hospitali ya Wilaya, Shule sekondari na Misingi ni Mbovu zote, Mahakama ya Wilaya, Miundo mbinu mibovu hatuna hata bara bara za Molamu n.k n.k n.k!

Naogopa kutaja vyote ili wengi wasijue Niko Wilaya gani TZ.

Nahitaji KUWAKOMBOA WENZANGU WANA KIJIJI KWA KUWALETEA MAENDELEO ENDELEVU.

Natanfuliza shukurani kwenu nyote mtao changia na Matao pita kuperuzi na kutoa Comments za kimoyo moyo!

ASANTENI NYOTE!.
Kama wewe ni mzaliwa wa jimboni kwako anza kuongea na wazee wa jimboni waelezee shida zilizopo jimboni na waambie lengo lako la 2020. Unaanza kampeni za chini kwa chini hata ikifika 2020 ushapata umaarufu wa kutosha weka wazee wanaokubalika,vijana wenyewe nguvu na waongeaji karibu na wewe na wape matumaini kama ukishinda utawasaidia jimboni na wao watapata msaada kutoka kwako kama utafanikiwa. Bila ya kusahau fanya tasmini chama kipi kinakubalika hapo jimboni ndio ujiunge nacho kama utaona hawatakupitisha fanya mbadala wa kujiunga na chama chenye ushabiki wa pili na wafanyie kampeni na ongea nao. kila la Kheri.
 
elimu ya siku hizi majanga uandishi huu kweli ndiyo uwemwakilishi wajimbo,jifunze kuandika kwanza usije ukashabikia bange bungeni kama yule mwenzio.
 
Salamu kwenu wakuu!!

Niheshima yangu kuwaombeni mchango wenu was mawazo ili kufanikisha Adhima hii.....!

Natoka familia Maskini yenye mzazi mmoja wa kike pekee, japo Baba yupo lakin hakunijali toka utoton hata mkewe wa ndoa hajijui na watoto wake hawanijuai japo Mimi naijua familia yake (Baba) kwa 85% lakin wao hawanijui.

Mimi ni Mtanzania kwa kuzaliwa na nimesoma hapa hapa nchin, Elumu chuo kikuu flani hapa Tanzania,

Natazamia kufukia 2019 nitakuwa nime hitimu digrii yangu ya Pili katika fani FLANI HIVI ambayo ni mwebdelezo wa hii Undergraduate niliyo nayo ........!

Sija wahi kuwa Mwana siasa wala mfuasi wa chama chochote mpaka sasa!

Lakini naumia sana Jimbo letu huwa tuna letewa wabunge ambao si wazawa wa jimboni, na wengine ni huwa hawana hata Uhalisia wa Kitanzania hudhaniwa ni wakuja!

Mpaka sasa jimboni kwetu hatuna hata Hospitali ya Wilaya, Shule sekondari na Misingi ni Mbovu zote, Mahakama ya Wilaya, Miundo mbinu mibovu hatuna hata bara bara za Molamu n.k n.k n.k!

Naogopa kutaja vyote ili wengi wasijue Niko Wilaya gani TZ.

Nahitaji KUWAKOMBOA WENZANGU WANA KIJIJI KWA KUWALETEA MAENDELEO ENDELEVU.

Natanfuliza shukurani kwenu nyote mtao changia na Matao pita kuperuzi na kutoa Comments za kimoyo moyo!

ASANTENI NYOTE!.
 
Salamu kwenu wakuu!!

Niheshima yangu kuwaombeni mchango wenu was mawazo ili kufanikisha Adhima hii.....!

Natoka familia Maskini yenye mzazi mmoja wa kike pekee, japo Baba yupo lakin hakunijali toka utoton hata mkewe wa ndoa hajijui na watoto wake hawanijuai japo Mimi naijua familia yake (Baba) kwa 85% lakin wao hawanijui.

Mimi ni Mtanzania kwa kuzaliwa na nimesoma hapa hapa nchin, Elumu chuo kikuu flani hapa Tanzania,

Natazamia kufukia 2019 nitakuwa nime hitimu digrii yangu ya Pili katika fani FLANI HIVI ambayo ni mwebdelezo wa hii Undergraduate niliyo nayo ........!

Sija wahi kuwa Mwana siasa wala mfuasi wa chama chochote mpaka sasa!

Lakini naumia sana Jimbo letu huwa tuna letewa wabunge ambao si wazawa wa jimboni, na wengine ni huwa hawana hata Uhalisia wa Kitanzania hudhaniwa ni wakuja!

Mpaka sasa jimboni kwetu hatuna hata Hospitali ya Wilaya, Shule sekondari na Misingi ni Mbovu zote, Mahakama ya Wilaya, Miundo mbinu mibovu hatuna hata bara bara za Molamu n.k n.k n.k!

Naogopa kutaja vyote ili wengi wasijue Niko Wilaya gani TZ.

Nahitaji KUWAKOMBOA WENZANGU WANA KIJIJI KWA KUWALETEA MAENDELEO ENDELEVU.

Natanfuliza shukurani kwenu nyote mtao changia na Matao pita kuperuzi na kutoa Comments za kimoyo moyo!

ASANTENI NYOTE!.
Barabara za molamu zipo moro na maeneo wanayolima sukari
Hongera kwa uhamuzi wako, but jitahidi kuhariri ulicho post.
Kila la heri
 
Tayari una lengo la kugombea sehemu japo hujapata....
Tafuta changamoto 5 za kukunadi wewe mgombea nyingine anza kufanya kazi sasa kama ni elimu shiriki kwenye ujenzi wa Elimu.

Mbunge kushinda kifahisi hujengwa na Madiwani kama uko upinzani ama utagombea upinzani jenga chama tafuta madiwani wanaouzika.

Uza sela zako sasa,jichanganye na raia msibani,majumba ya ibada,kuwa karibu na jamii husika.
 
Salamu kwenu wakuu!!

Niheshima yangu kuwaombeni mchango wenu was mawazo ili kufanikisha Adhima hii.....!

Natoka familia Maskini yenye mzazi mmoja wa kike pekee, japo Baba yupo lakin hakunijali toka utoton hata mkewe wa ndoa hajijui na watoto wake hawanijuai japo Mimi naijua familia yake (Baba) kwa 85% lakin wao hawanijui.

Mimi ni Mtanzania kwa kuzaliwa na nimesoma hapa hapa nchin, Elumu chuo kikuu flani hapa Tanzania,

Natazamia kufukia 2019 nitakuwa nime hitimu digrii yangu ya Pili katika fani FLANI HIVI ambayo ni mwebdelezo wa hii Undergraduate niliyo nayo ........!

Sija wahi kuwa Mwana siasa wala mfuasi wa chama chochote mpaka sasa!

Lakini naumia sana Jimbo letu huwa tuna letewa wabunge ambao si wazawa wa jimboni, na wengine ni huwa hawana hata Uhalisia wa Kitanzania hudhaniwa ni wakuja!

Mpaka sasa jimboni kwetu hatuna hata Hospitali ya Wilaya, Shule sekondari na Misingi ni Mbovu zote, Mahakama ya Wilaya, Miundo mbinu mibovu hatuna hata bara bara za Molamu n.k n.k n.k!

Naogopa kutaja vyote ili wengi wasijue Niko Wilaya gani TZ.

Nahitaji KUWAKOMBOA WENZANGU WANA KIJIJI KWA KUWALETEA MAENDELEO ENDELEVU.

Natanfuliza shukurani kwenu nyote mtao changia na Matao pita kuperuzi na kutoa Comments za kimoyo moyo!

ASANTENI NYOTE!.
Kimbia usiku huu tafuta mtu wa chama ujiunge hapo chuoni km uko 1st or 2nd year gombea uongozi wa chama hope uchaguzi wa ccm umeishapita unaweza anza kujitolea kuhusu vyama vya mama mdogo wapinzani sijui ila huko ukambale mwingi sana.
 
Kimbia usiku huu tafuta mtu wa chama ujiunge hapo chuoni km uko 1st or 2nd year gombea uongozi wa chama hope uchaguzi wa ccm umeishapita unaweza anza kujitolea kuhusu vyama vya mama mdogo wapinzani sijui ila huko ukambale mwingi sana.
 
Tajitahidi.

Mbunge aliyopo na walo pita hawana uchungu na JIMBO HILI......
Uchungu sio tatizo

je una mikakati gani!? kuwashinda hao waliopo .
je unampunga wakutosha kwa kipindi cha uchaguzi!?
huwezi kupata kama hauna hela
 
Salamu kwenu wakuu!!

Niheshima yangu kuwaombeni mchango wenu was mawazo ili kufanikisha Adhima hii.....!

Natoka familia Maskini yenye mzazi mmoja wa kike pekee, japo Baba yupo lakin hakunijali toka utoton hata mkewe wa ndoa hajijui na watoto wake hawanijuai japo Mimi naijua familia yake (Baba) kwa 85% lakin wao hawanijui.

Mimi ni Mtanzania kwa kuzaliwa na nimesoma hapa hapa nchin, Elumu chuo kikuu flani hapa Tanzania,

Natazamia kufukia 2019 nitakuwa nime hitimu digrii yangu ya Pili katika fani FLANI HIVI ambayo ni mwebdelezo wa hii Undergraduate niliyo nayo ........!

Sija wahi kuwa Mwana siasa wala mfuasi wa chama chochote mpaka sasa!

Lakini naumia sana Jimbo letu huwa tuna letewa wabunge ambao si wazawa wa jimboni, na wengine ni huwa hawana hata Uhalisia wa Kitanzania hudhaniwa ni wakuja!

Mpaka sasa jimboni kwetu hatuna hata Hospitali ya Wilaya, Shule sekondari na Misingi ni Mbovu zote, Mahakama ya Wilaya, Miundo mbinu mibovu hatuna hata bara bara za Molamu n.k n.k n.k!

Naogopa kutaja vyote ili wengi wasijue Niko Wilaya gani TZ.

Nahitaji KUWAKOMBOA WENZANGU WANA KIJIJI KWA KUWALETEA MAENDELEO ENDELEVU.

Natanfuliza shukurani kwenu nyote mtao changia na Matao pita kuperuzi na kutoa Comments za kimoyo moyo!

ASANTENI NYOTE!.
Masikini wakipata uongozi wanawaza familia zao na ndugu zao huwasahau hata hao masikini. Tunataka wabunge waliotosheka kama kina Mohamed Dewji
 
Nawa Shukuru WOTE kwa comments zenu, hata mnao toa Changamoto pi nazusoma. Asnten WOTE.
 
Inawezekana ndo wa kutukomboa kwani ni wa familia ya kawaida
 
Tumechoka kuwapa madaraka watu maskini maana masikini wenzenu wanatuletea mambo yasieleweka na wanataka kila mwenye hela aishiwe awe masikini. Yani we nkikujua sikupi kura yangu.
 
Hilo ni kweli. Huyu kwa stahili aliyotumia kuomba ushaushauri inaonekana akawa na hofu ya Mungu. Yaani kwa ujumla tuombe Mungu atupatie Mtu mwenye asili ya uongozi na Tanzania sio kwamba hawapo wapo na hao ndo tunaosikia wakiitwa majina Mazito ktk kuyabeba
 
Ni kweli mkuu nina hofu ya Mungu. Tuendelee kuiombea Tz Na endelea kuniombea. . ........
 
Back
Top Bottom