Recent content by magazimoro

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aambiwe ukweli

    Wachumi tunaomba mtufafanulie vizuri effects za fedha yote kurudi BOT ili tuwe na uelewa mpana katika hili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

    Mkuu katika hili ni Mungu pekee ndie mwenye msaada na ulinzi. Mzazi anaweza akajitahidi sana lakin mtoto ndio kwanza makuzi na groups chafu zinazidi kukomaa akilini mwake. Na ukifuatilia ule uzi vizuri utaona akiwa kidato cha kwanza tu kafundishwa mchezo kinyume na maumbile na mtu mzima ambae...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Kwani hizo CD za X anazitoa wapi hasa maana ya kwanza uliiharibu cha ajabu ukamkuta na nyingine tena. Hebu fafanua kidogo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Ninachoamini mimi ni kuwa hakuna mwanadamu yeyote yule mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwanadamu mwenzake isipokuwa Mungu peke yake ndie mwenye mamlaka hayo. Kwahiyo damu ya Lissu iliyomwagika Mungu lazima ataidai kutoka kwa alieimwaga. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Samahani kwa kukuboa ila kwa kitu ambacho mtu anaona hakina faida au maana yoyote kwake si mbaya ukakiacha kama kilivyo na ukaendelea na mengine.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nimeipenda hii, its a very good idea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Mkuu hebu nitumie nami sample maana wengi tuko kwenye huo mchakato. magazimoro@ gmail.com
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Kweli mkuu umeongea point nzuri sana. Hizo garama zinategemea na maeneo na aina ya mteja mwenyewe. Tena kwa mikoani bei unakuta inakuwa hata pungufu ya hapo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] kabisa kichwa chake kitakuwa na shida sio hivi hivi tu. Sijui kwa nini anajiamini kiasi hiki!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huvai kiunoni shanga, cheni hata kamba ya mgomba inakushinda?

    Huo ni mtazamo na hisia za mtu binafsi lakini hakuna uhusiano wowote na swala la mapenzi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni majina ya vyeti vyenye utata ambavyo ni 1538 kuepusha usumbufu

    Mkuu hebu tuma hiyo list ya kurasa moja majina 76 maana sijaiona zaidi ya hao 1464
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni majina ya vyeti vyenye utata ambavyo ni 1538 kuepusha usumbufu

    Tovuti ipi MKUU, kama ni utumishi ipo list ya kughushi tu ndio iliyotoka rasmi kwa mfumo halali wa taarifa za kiserokali. List inayosambaa kwanza kabisa haina kichwa cha habari na haina sahihi kuonyesha afisa anaethibitisha taarifa hiyo. Labda tuambie chanzo chako cha taarifa ya list hiyo tuweze...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Dah, hii kitu imeniuma sana kana kwamba ni mtoto wangu. Pole sana miss chagga. Jamani wazazi tusiwe wakali kupita kiasi kwa watoto na tujenge tabia ya kuwasikiliza watoto. Itasaidia sana kufahamu hisia zao na watakuwa huru kwetu kuelezea matatizo yao. Hebu fikiria miss chagga angeamua tu kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

    Nahisi huyu dogo haijatoka ndani ya moyo wake kabisa kwamba alimpenda na alihitaji kumuoa huyu Dada. Inaonyesha Flora katumia nguvu kubwa sana ya ushawishi kwa huyu dogo mpaka dogo akalainila. Na hata ukiangalia maandalizi na matangazo ya harusi hii yametumia nguvu kubwa sana ya Flora. Lakini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri niache kazi au niendelee nayo

    Ina maana huo utaratibu ni kwa walimu wote au ni wewe tu nashindwa kupata picha.
Back
Top Bottom