Duniani kote pesa za serikali hukaa Central Bank na wala si Commercial Banks ilikuwa TZ pekee ambako pesa za serikali zilikuwa zinakaa kwenye Commercial Banks ambapo hizo hizo Commercial Banks zinakwenda kuchukua mikopo BOT kwa kutumia pesa za serikali huu ulikuwa ujinga uliopitiliza ndiyo maana Kenya na India walikuwa wauzaji wa Tanzanite kuliko TZ huo nao ni ujinga uliopitiliza kiasi cha hali ya juu! Sasa amekuja mwanaume wa shoka amewanyoosha ni lazima mtalalamika tu kwa sababu nyinyi mlikuwa wanufaikaji wa mfumo huo wa kifisadi. Kwa waelewa wote wanajua Mh. Rais Magufuli anafanyakazi kubwa sana na atakuwa na wapingaji kama nyinyi lakini tunajua ataendelea kuwanyooka kwa kuwa watz walio wengi wako nyuma yake wanamuunga mkono.
Mkuu nachelea kusema ni wew pekee na baadhi ya mwenye akili finyu ndiyo wako nyuma ya jiwe, nitajie mtu mwenye utimamu wa akili na asiyelinda tumbo lake aliye nyuma kumsapoti jiwe