Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.

Mahakama hizi za Tanzania?
 
Eti alipitia dirishani kuwakwepa tume NI KUTUMIA HEKIAMA (HEKIMA YA KIBASHITE) kwa sababu tume ile haikuwa halali kuchunguza suala la uvamizi

Na kwamba angewaona pale angewatia ndani tu kama wazururaji na hivyo alivyoruka ukuta ilimsaidia asiwaoneone.

Huyu jamaa, bila shaka kuna nati kadhaa hazijakaa sawa.
kabisa kichwa chake kitakuwa na shida sio hivi hivi tu. Sijui kwa nini anajiamini kiasi hiki!
 
Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo...

'Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake'

'Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi'

'Clouds nilikuwaga naeda kula ugali na Maharage'

'Gwajima anajiita Askofu lakini sio Askofu kamili'

'Nimeuona uongo wa Ruge hadharani, Nimeouna utapeli wa Ruge Hadharani'

'Ruge ana akili ya kutunga nyimbo za mapenzi na Ng'onjera sio maendeleo ya Dar as salaam'
Kuna watu siku hizi humu Tanzanian Ukiwawazia sana unaehuka mapemaa
 
FB_IMG_1495455668485.jpg
Hiki kituo chenyewe ni cha kibashite unategemea nini hapo
 
Ha ha ha ha haaaaaa

Yaani bado nawacheka, kila siku mnabishaa ooh hivi mara vile nyie ndio fans wake namba moja

Ha ha haaaaaa, mmefurahisha kila mtu..eti hatumtaki kunsikia eti harutamsoma eti hivi... ha ha haaaaaa hata wengine kulinda ID zao wanadanganya hawajaangalia ila maneno wanayoandika yanawasuta...

Viongozi wote leo walikuwa mamcho na msikio kwa RC, na wa upinzani wadakyzi wa mambo kusema wanenda mahakamani ndio walikuwa namba moja

Nimefurahi kujua mliungana na wananchi wengine wengi kumwanagalia na kunsikiliza Mh. Makonda

Makonda oyeeeeeee
Tulitarajia kama watanzania atatuomba radhi, tukaamua kuchungulia, ayaa kumbe anaoga tope kama bata maskini.
 
Hahaha.. Unapomchagua mtu kama huyu awe mkuu wa mkoa ni lazima na wewe nati zitakuwa zimefyatuka kichwani si bure... I can't imagine mkulu naye alikuwa anaangalia star TV na kusema duh jembe langu linatema cheche! Lol!
Hahahahahah
 
Kwani vyombo vya habari, TLS, Askofu Gwajima na etc ndiyo wenye mamlaka ya kuhakiki vyeti vya watu? Sasa awapelekee vyeti vyake wao kama nani? Umeambiwa cheo cha RC kina rank sawa na Minister. Haingii akilini waziri au mkuu wa mkoa anachukua vyeti vyake anaenda navyo kuhakikiwa na chombo cha habari kinachomilikiwa na Kubenea, Mbowe na etc!! Wapi duniani ilikwisha tokea kitu cha namna hii.

Tuhuma nzito ya Makonda ilikuwa ni ya uvamizi wa kituo Clouds TV. Leo ameielezea vizuri sana. Ni dhahiri kabisa tuhuma hii ni ya kughushi kwa maslahi wanayoyajua wenyewe. Na kuna uwezekano wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa kosa la dedefamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa.

Hilo la kubadili jina toka D.A. Bashite na kuwa P.C. Makonda kwa kusudio la kutumia vyeti vya P.C. kujiendeleza kielimu nalo kalikanusha katu katu. Kwamba majina anayotumia ndiyo aliyopewa na wazazi wake. Hakukuwa na haja kuwaonyesha birth certificate kwani wao si mamlaka ya uhakiki. Ni dhahili kuwa hadithi hii ni ya kutungwa pia. Na watungaji ni baadhi ya waliotajwa kwenye orodha ya madawa. Si ajabu watu hawa wakafikishwa mahakamani muda si murefu kwa kosa la defamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa. Tumesikia PCCB wanamalizia upelelezi wa kesi hii huko Tabora ambako kuna huyo name mate wa Makonda.

Mkondo wa sheria lazima utachukuwa mkondo wake dhidi ya watunzi hao wa hadithi za uongo ili iwe fundisho pia kwa wengine wenye tabia kama hizi.
Eti unajiita Dr nan vile,hivi Kwa akili ya kawaida tu bado unajitoa ufahamu kumtetea huyu jamaa,watanzania bado tuna safari ndefu mpaka tufike kwakweli
 
Ha ha ha ha haaaaaa

Yaani bado nawacheka, kila siku mnabishaa ooh hivi mara vile nyie ndio fans wake namba moja

Ha ha haaaaaa, mmefurahisha kila mtu..eti hatumtaki kunsikia eti harutamsoma eti hivi... ha ha haaaaaa hata wengine kulinda ID zao wanadanganya hawajaangalia ila maneno wanayoandika yanawasuta...

Viongozi wote leo walikuwa mamcho na msikio kwa RC, na wa upinzani wadakyzi wa mambo kusema wanenda mahakamani ndio walikuwa namba moja

Nimefurahi kujua mliungana na wananchi wengine wengi kumwanagalia na kunsikiliza Mh. Makonda

Makonda oyeeeeeee
Kama kawaida yako upo,tulikuwa tunataka tusikilize upupu wake na kweli amedhihirisha kichwani hamna kitu
 
atlas copco: Kwa nini tusianze na vyeti vya Bashite kwanza? Mbona hata Mzee ameanza na vyeti vya watumishi wa umma kwanza na kuwaacha mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na madiwani?
Mkuu unamwanzaje labda?,Mwenye mamlaka hayo ameshamwambia "baba fanya kazi usisikilize maneno ya watu"
 
Ata mimi nikiwa kama mwanachama wa chadema nataka kufahamu elimu ya mwenyekiti wangu Aikaeli. Kama ana elimu ya Sekondari au Elimu ya hapanapale.

Na kwakua ameshindwa kuweka elimuyake hadharani nataka niende mahakamani.
Nadhani ana elimu ya sekondari tu na sijawahi kusikia kuwa alighushi vyeti vyake.
 
Mkuu huyu mhuni na jambazi hawezi kutumia fursa vizuri maana hana supporting documents ya vyeti vyake na namna alivyopata jina la Paul Makonda kutoka Daudi Bashite wa Kolomije. Ni mwendelezo wa uhuni tu dhidi ya hili swala la huyu jamaa vinginevyo sasa hivi angekuwa na kesi ya kuidanganya Serikali na pia uvamizi wa Clouds.


Jamaa nilijua atatumia Fursa ya leo vizuri ila wapi!
Ukiwaangalia vizuri hata wale waandishi walk disappointed sana!
Walichotegemea Na reaction wanayoiona tofauti
 
Hicho kipindi hawana mpango WA kukirusha tena marudio tuliokosa tuone au kama Kuna mtu analink inayoweza kukuongoza kukidownload msaada plz
 
Huyu jamaa leo ndio kathibitisha uziro wake kituko mwanzo mwisho
 
Nchi nyingine wakiafuatilia mijadala yetu wanaishia kutusikitikia tu. Tunatia huruma kwa kweli.
NHuyu ni RC wetu.Anawakilisha chama chetu cha CCM.Akizungumza lazima tufatilie.
 
Kama kawaida yako upo,tulikuwa tunataka tusikilize upupu wake na kweli amedhihirisha kichwani hamna kitu

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa


Na bado hamuwezi bila kujua yake, hata mkijaribu kuandika upupwu mnajua ni hakna budi msimalizane humu wenyewe eeeeeh


Makonda oyeeeeeeeeeeee
 
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa


Na bado hamuwezi bila kujua yake, hata mkijaribu kuandika upupwu mnajua ni hakna budi msimalizane humu wenyewe eeeeeh


Makonda oyeeeeeeeeeeee
Sawa Mrs DAB hivi na ww upo kwenye kile kitengo cha kumsafisha jamaa?nasikia mmeungana na bongo movie kwenye hii inshu Ya kumsafisha mshikaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom